Dybala Kulamba Dili la Mkataba Mpya Chini ya Pirlo.


Imeripotiwa kuwa Klabu ya Juventus ina mpango wa kumpatia mkataba mpya wa miaka mitano staa wake, Paulo Dybala.

Mkataba wa awali ya Dybala ndani ya Juventus unatarajiwa kumalizika Juni 2022 baada ya kuusaini mwaka 2017.

Juventus wanataka kumuongeza straika huyo mkataba kutokana na ubora ndani ya timu hiyo na amekuwa kati ya wachezaji tegemeo.

 

Dybala Kulamba Dili la Mkataba Mpya Chini ya Pirlo.

Dybala ambaye msimu uliopita aliibuka kuwa mchezaji bora ndani ya Serie A, pia aliisaidia timu hiyo kutwaa Ubingwa wa Ligi kuu na kuifikisha timu yake hatua ya 16 Bora ya Ligi ya Mabingwa Ulaya.

Ripoti zinaeleza kuwa, Mkurugenzi wa Ufundi wa Juventus, Fabio Paratici yupo kwenye mazungumzo na wakala wa Dybala Jorge Antun kwa ajili ya mkataba mpya.

Uongozi wa klabu hiyo una mpango wa kumpatia mkataba wa miaka mitano kwa maana hiyo Dybala atakuwa ni mchezaji wa pili kulipwa vizuri ndani ya kikosi hicho baada ya Cristiano Ronaldo.

 

Dybala Kulamba Dili la Mkataba Mpya Chini ya Pirlo.

Mshambuliaji huyo atakuwa analipwa kiasi cha euro 7m kwa msimu na euro 10m kama bonasi ndani ya kikosi hicho.

Juventus inataka kukamilisha dili hilo baada ya Klabu za Man United, PSG na Real Madrid kuonekana kusaka saini ya mchezaji huyo.


SHINDA NA MERIDIANBET!

Tengeneza pesa kidijitali kwa kubashiri mbio za farasi hapa Meridianbet! Chagua nani ashinde, unakusanya mkwanja.

Cheza Sasa.

36 Komentara

    Good news@meridianbettz

    Jibu

    Habari nzuri kwa dyabala endelea kupambana timu izid kusonga mbele#meridianbett

    Jibu

    Dyabala jembe. Juventus wamekumba maneno ya wahenga kwamba ‘save the best to the last’

    Jibu

    Dybala amelamba bonge la dili ni muda wa kazi sasa kijana kapige kazi

    Jibu

    itakua bonge moja la dili kwa dyabala kama likikamilika

    Jibu

    Itakuwa bonge ladili kwa Dybala Kama usajili wake utakamilika

    Jibu

    Ni sahihi kwa Dyabala kusalia Juventus kwani bado Juve wanakikosi kipana chenye ushindani

    Jibu

    Gud news

    Jibu

    Dyabala amelamba bonge la dili mda wake sasa#Meridianbettz

    Jibu

    Pongezi kwake, amelamba dili la maana

    Jibu

    Hongera Dyabala

    Jibu

    Good

    Jibu

    Dybala Sio Mchezaji wa kumwachia#Meridianbettz

    Jibu

    Kama namuona vile Suarez mabao atakuwa na kibarua chepesi sana ndani ya Juve kuhakikisha anatikisa nyavu za wapinzani tuu, Nadhani Balaa la Suarez linaanza upya kwenye ulimwengu wa soka

    Jibu

    Dybala anajua sana,lazima apewe nafasi nyingine!!

    Jibu

    kiwango chake bado kipo vizuri sana dybala

    Jibu

    Pirlo angemuachia huyu tu

    Jibu

    Pirlo ni makini sana kumpa muda zaid dyabala ameonyesha kumuamini sna

    Jibu

    Dyabala anajua

    Jibu

    Habari njema

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Dyabala ni mchezaji mzuri na mwenye kujituma

    Jibu

    Hongera kwake.

    Jibu

    daybaya yupo vzr sana#meridianbettz

    Jibu

    Hongera kwake

    Jibu

    Hongera kwa dyabla kuongeza mkataba juve

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Dyabala jembe

    Jibu

    Good

    Jibu

    Hongera yake

    Jibu

    Juve wako sahihi kuendelea kumbakiza kwani ni mchezaji mzuri sana

    Jibu

    Hii ni habari njema kwa wana juve.

    Jibu

    HAbari njema kwa Juve

    Jibu

    Kiwango chake anastaili kuendelea kuwepo

    Jibu

    Bonge LA Dili kwake

    Jibu

    Hongera sana dybala kwa kupata dili hilo

    Jibu

Acha ujumbe