Ederson - Guardiola Anajicho La Kipekee Kwenye Soka.

Ederson ame mmwagia sifa kede kede Kocha Wa timu ya Mancherster City kwa kumfanya awe golikipa mzuri “anautizama mpira katika njia nyingine” alisema Ederson.

Mbrazili huyo tayari ametumia misimu mitatu kucheza chini ya Kocha huyo wa Kikatalunya, huku wakifanikiwa kubeba kombe la EPL mara mbili na mataji mengine yanayohusu mashindano ya ndani ya Uingereza.

Ederson mwenye umri wa miaka 26 anajulikana kwa umahili wake wa kuzuia mipira ya hatari, lakini alaifanya makosa kwenye mchezo wa dabi walipokutana na Man U na kufungwa goli mbili hapo mwezi machi.

Walakini, Ederson alisisitiza kujitoa muhanga ni matarajio yake, akiwa chini ya mwalimu Guardiola, ambaye alimsifia kuwa amemsaidia kukuza kipaji chake cha unyanda.

“Majukumu ya golikipa kwenye timu ya Pep ni kama 11 zaidi ya mchezaji uwanjani, kwa maana ya kuiunda timu na kuichezesha” aliiambia Sky Sports.

“Nadhani ni magumu sana, kuna majukumu makubwa huwezi kukubali kufanya makosa. Kama ukifanya makosa inawezekana timu pinzani kupata ushindi.”

“Pep ni kocha Mkubwa anayeona mpira kwa namna ya kipekee. Anaishi mpira, anapumua mpira, jinsi anavyo fikiria kwenye mpirani tofauti kabisa  na makocha wengine.

 Ederson

“Amenisaidia sana kukuza kiwango changu kama golikipa, sio mimi pekeee bali hata kwa mchezaji mmoja mmoja kwenye timu”.

“Sifanyi mazoezi sana, inaweza kuwa mara mbili au tatu kwa wiki,” alisema. Ni ujuzi wa asili niliyo nao kupiga mipira mirefu, kwa hiyo sihitaji kufanya mazoezi mara kwa mara.

 

 

55 Komentara

    Uko vizuri sasa.

    Jibu

    Nikocha mzuri #meridianbettz

    Jibu

    Guardiola ni kocha mzuri sana na Ederson anaweza kuwa kipa bora zaidi kupitia yeye

    Jibu

    Pep n kocha mzr kweli na anajua kuchagua wachezaj bora na kuwa pika kua kama anavyotaka yeye toka atokako kuanzia Barcelona,bayern Munich mpk hapa man city ila huku uingereza kaona mambo yapo tofauti kidogo kwa maana hakuna timu ndogo unae mdharau ndio anae kufunga

    Jibu

    Guardiola ni kocha mzuri sana pia tunamjua kuwa ni mkali wa gonga akiwa na timu yeyeto ile itachezea npira na kushinda pia anakochi vizuri wachezaji wake licha yakukosea huwa hachukii wachezaji wake kama kipa wa city ederson kufanya kosa dhidi ya man u pia bado anaheshima na kocha huyo safii guardiola

    Jibu

    Ajakosea kumpa sifa zake nisahii kwa Guardiola nikocha anaejua yupo vizuri

    Jibu

    Yupo vizuri

    Jibu

    Safii sana guardiola kwa kuwa koch wachezaji wako vizuri hivyo ndivyo inavyotakiwa kushirikiana vizuri katika timu yako na matokeo ndio kama hayoo wanakiona wewe ndio kocha mzuri ambae hujawaji kupewa lawama kwa wachezaji wala wewe kuwapa lawama wachezaji wako good ## meridianbettz

    Jibu

    Ni kocha mzuri

    Jibu

    Sana hata mie namkubali sana huyu jamaa#Meridianbettz

    Jibu

    Kwa maoni yake yeye ni kweli lakini kwa wengine so kweli

    Jibu

    Kocha anaejituma

    Jibu

    Guardiola amekuza vipaji vya wachezaji wengi

    Jibu

    Kocha mwenye viwango vya ukocha

    Jibu

    Pep yupo vizuri sana mchezaji akitulia lazima aimprove

    Jibu

    Edarson yupo sahihi kabisa man City wana kocha mzuri na anaeisaidia timu

    Jibu

    Pep ni mmoja makocha bora kwa sasa
    Ni lAzima umpe sifa zake#meridianbettz

    Jibu

    Kwangu Guardiola ni Kocha bora duniani kwa sasa#meridianbettz

    Jibu

    Katika makocha ambao wagumu kutoa sifa ya wachezaji guardiola n miongoni mpaka ukipata nafasi ya kusifiwa na kocha hiyu ujue ww n bonge la mchezaji na kwa upande mwingine tuona Enderson jinsi alivyoisaidia man cty kama goli lipa namba moja na mpka kusaidia kuingia EPL msimu uliopita na ukiangalia uwezo wake Kama mrinda goli tunafaham n golikipa mzur sana

    Jibu

    Hakuna asiye mfahamu pep guardiola kwa uwezo mkubwa na aina ya mpira anaofundisha unavutiwa na kila mmoja ulimwenguni kote namkubali Sana pep

    Jibu

    In kwel kabisa, ndio maana yeye ni moja ya makocha bora zaidi duniani

    Jibu

    Kocha safi

    Jibu

    Maoni:Kwa kwel Guardiola ni kocha mzuri sana namkubali sana hana masiala katika kazi yake Guardiola jeshii sishangai kumwagiwa na Ederson

    Jibu

    Ederson kipa mzuri sana

    Jibu

    Guardiola ni kocha mzuri sana kwa sasa

    Jibu

    Kocha katisha

    Jibu

    Guardiola amekuwa na mchango mkubwa sana katika kuwakuza viwango wachezaji mbalimbali na kuwafanya kuwa tishio katika ulimwengu wa soka, Namkubali sana Pep.

    Jibu

    hiyo ndio sifa ya pep kipa lazima ajue kuanzisha mpira

    Jibu

    Kwer pep coach mzur

    Jibu

    Pepe ni kocha mzuri

    Jibu

    Nikocha anayejua nini anafanya

    Jibu

    Yuko sahihi pep Guardiola ni kocha bora miongoni wa makocha na amedhiirisha ilo kwa kila timu aliyoifundisha

    Jibu

    Namkubali Sana huyu kocha

    Jibu

    Nikocha mzuri sana na anajua kuchagua wachezaji bora nakuwaweka vizur kama anavyotaka yeye

    Jibu

    Yuko sahihi

    Jibu

    Kiukweli yuko vizuri sana kwenye soka.

    Jibu

    Fundi wa modern football Pep

    Jibu

    Kocha mzur anatimiz wajibu wake

    Jibu

    Nikocha mzuri sana anajuwa wajibuwake

    Jibu

    Guardiola mtu mbad

    Jibu

    Kocha mzur

    Jibu

    Guardiola ni kocha mzuri sana hanainua vipaji vya wachezaji wengi

    Jibu

    Ni kocha htr

    Jibu

    Yuko vizuri sana

    Jibu

    Ni kocha bora

    Jibu

    Kocha mahiri sana

    Jibu

    Guardiola ni Kocha bora duniani kwa sasa#meridianbettz

    Jibu

    Ni kocha mzur Sana

    Jibu

    Kocha bora anayejituma

    Jibu

    Safi sana

    Jibu

    Kocha mzuri

    Jibu

    Kocha mzuri#meridianbettz

    Jibu

    Kocha yuko vizuri sana

    Jibu

    Namkubali Sana huyu kocha

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.