Elliott Asaini Mkataba Liverpool

Mshambuliaji wa Liverpool, Harvey Elliott amesaini mkataba wa miaka mitatu na mabingwa wa hao Premier League.

Ni mkataba wa kwanza kwa Elliott kama mchezaji wakulipwa, ambao alikuwa haki kusaini alipofikia miaka 17, 4 Aprili.

Winga huyo wa Uingereza Under-17 alijiunga na Liverpool kutoka Fulham majira yaliyopita kwa kiangazi na amecheza mechi nane katika timu ya wakubwa.

“Harvey ni mechezaji mwenye kipaji. Wote tunajua uwezo wake – tumeuona msimu huu akiwa na timu ya kwanza na U23,” alisema kocha wa Reds Jurgen Klopp.

Elliott amekuwa mchezaji wapili mwenye umri mdogo alipoanza kwenye mechi ya Kombe la Carabao dhidi ya MK Dons Septemba.

Amecheza mechi mbili za Premier League, na zote ametokea sub.

“Tangu siku ya kwanza nilipoingia, imekuwa safari yenye furaha,” alisema Elliott.

“Na kubwa zaidi kupewa mkataba wangu wa kwanza kama mchezaji wakulipwa ni ndoto iliyokuwa kweli kwangu na familia yangu.”

51 Komentara

    Habari njema kwa mashabiki wa liverpool

    Jibu

    Lets start hunt the Trophy Ellie….YNWA

    Jibu

    Harvey ni mechezaji mwenye kipaji. Wote tunajua uwezo wake

    Jibu

    Vizur

    Jibu

    Dogo ashakuwa Ndio maana amepewa mkataba wa mchezaji wa kulipwa

    Jibu

    alijiunga na Liverpool kutoka Fulham majira yaliyopita kwa kiangazi na amecheza mechi nane katika timu ya wakubwa
    Harvey ni mechezaji mwenye kipaji.ni Jambo zuri kupatiwa mkataba # meridianbettz

    Jibu

    Maoni:vizuri

    Jibu

    Habari nzuri kwa wapenzi wa Liverpool

    Jibu

    Jambo zuri kwa club

    Jibu

    Good news

    Jibu

    Elliott ni mchezaji hanaye jituma sana hufanyaji wake wa kazi ndio humemfanya hadi Liverpool kuona humuhimu wake kwenye clabu yao ngera sana

    Jibu

    Watu na bahati zao#Meridianbettz

    Jibu

    Elliott hongera sana kwa kupata nafasi liverpool tim inayojituma

    Jibu

    Safiii habari nzuri Sana

    Jibu

    Hongera sana kwake na habari njema Sana kwa sisi mashabiki

    Jibu

    Ni vizuri Liverpool wanaongeza vitu vizuri habari njema kwa mashabiki

    Jibu

    Habari mnzuri kwa mashabiki wa Liverpool

    Jibu

    pongezi ziende kwake

    Jibu

    Uamuzi mzuri

    Jibu

    Habari njema Sana kwa wapenzi wa soka

    Jibu

    Ni jambo La kufurahisha kwa wana Liverpool kuona bado kloop anakiu ya kutanua kikosi cha mabingwa hao wapya wa EPL.

    Jibu

    Ni habari njema sana izo kwa mabingwa hao na mashabiki kwa ujumla

    Jibu

    Pongezi kwake ni hatua nzuri kwa upande wake kupewa mkataba inamaanisha wanamwamini na wamekubali kiwango chake

    Jibu

    Nuhabari njema kwa mashabiki

    Jibu

    Pongezi kwake kuongeza mkataba

    Jibu

    Pongezi sana kwake

    Jibu

    Good

    Jibu

    Safii karibu Liverpool kijana

    Jibu

    Karibu Liverpool herriot habari nzuri Sana kwetu mashabiki

    Jibu

    Good to hear this

    Jibu

    Habari njema

    Jibu

    Imekuwa safari nzuri ya mafanikio kwake, Kila la kheri Elliott

    Jibu

    Eliot ni jembe safi

    Jibu

    Safi kloop kwakuendeleza kipaji hiki

    Jibu

    Vizur

    Jibu

    habari njema sana Asante kwa makala

    Jibu

    Habari nzuri sana kwa mashabiki wa liverpool

    Jibu

    Good

    Jibu

    Habar njema sana 👍

    Jibu

    Maoni:Daah hongera zake

    Jibu

    Habar njema

    Jibu

    Yuko vizuri.

    Jibu

    Hongera yake

    Jibu

    Nice one to him

    Jibu

    Hongera take

    Jibu

    Hongera Elliot

    Jibu

    Good news

    Jibu

    Pongezi sana kwake

    Jibu

    Habari njema kwake#meridianbettz

    Jibu

    hongera yake

    Jibu

    Hongera sana Elliott

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.