Romelu Lukaku amefunga mabao 20+ ya ligi kwa msimu kwa mara ya pili tu kwenye maisha yake ya soka – Pia 2016-17, magoli 25 kwa Everton.
Lukaku alifanikiwa kufunga goli namba 20 kwa msimu huu kwenye mchezo dhidi ya Bologna ambapo Milan walilala kwa goli 2-1 wakiwa katika uwanja nyumbani. Inter Milan walianza kupata goli kupitia kwa mshambuliaji wa kimataifa kutoka Ubeligiji Romelu Lukaku dakika ya 22 ya mchezo kabla ya Roberto Soriano kutolewa nje kwa kadi nyekundu.

Lautaro Martinez alikosa penati dakika ya 62 ya mchezo, wakati Musa Juwara mchezaji wa Bologna aliweza kuitumia vyema nafasi na kuisawazishia timu yake dakika ya 74, dakika sita baadaye Musa Barrow aliipatia Bologna bao la pili baada ya kupata pasi kutoka kwa Nicolas Dominguez, mpaka dakika 90 zina malizika Bologna waliibuka washindi.
Lukaku yupo mbioni kuvunja rekodi yake mwenyewe kwa kufunga magoli mengi lakini pia yupo kwenye mstari wa kuwa mchezaji bora wa msimu katika klabu ya Inter Milan.
Romelu Lukaku anakuwa mchezaji wa nne wa Inter Milan kwenye historia ya klabu kufunga mabao 20+ katika michezo ya kwanza 30 na wa kwanza tangu Ronaldo De Lima mnamo 1998.
Ni wachezaji watatu tu waliofunga mabao 20+ kwenye Serie A msimu huu:
❍ Ciro Immobile (29)
❍ Cristiano Ronaldo (25)
❍ Romelu Lukaku (20)


Frank Patrick
Mwalukaku amethihirisha kwamba bado yeye ni bora
Flomena
Lukaku ni mshambuliaji mzuri Sana na bado Yuko juu
Hilda
Nice
David Pere
Kwa ligi ya Italy ni wa Moto lakini alikiyoka amechemchemsha Sana maana EPL sio mchezo
Amani
Lukaku yupo mbioni kuvunja rekodi yake mwenyewe kwa kufunga magoli mengi Ila Italia ligi nyepesi # meridianbettz
tumaini
Maoni:Lukaku yuko vizuri sana
Fatuma kasomo
Lukaku yupo vizuri
Leonard
Lukaku analijua goli sana
Zeiyana
Lukaku yupo vizuri sana
Edgar
ni kweli kabisa yupo vzr sana tangia atoke man u na kwenda inter. Ameonesha uwezo mkubwa sana akiwa inter
Ester jackson
Lukaku jeshi la mtu mmoja anaye weza kufanya vitu ambavyo viko vizuri na kupelekea kuwa bora katika kujiwekea rikodi ya mchezaji analiye kuwa na magoli mengi inter Milan
warda
Kitambo huyu jamaa hajawahi chuja#Meridianbetz
Zuhura omary kindamba
Lukaku ni mchezaji mzuri sana
isha
Lukaku anajua mpira safi sana
Lydia Emmanuel Magoti
Safiii Sana Lukaku yupo vizuri namkubali anajua
Dorophina
Lukaku talent player yupo vizuri sana kila siku yupo juu
Magdalena
Lukaku yuko moto tangu akiwa mchezaji wa manchester United yuko vizuri Sana
Omary lukumbi
Basi tuu lukaku hakua kwenye mipango ya ole gunnar mpaka kauzwa ila n mchezaj hatar sana na top scorer wa timu ya taifa ya belgium
felister
Lukaku ni mchezaji Bora wa msimu katika klabu ya inter
Angelina
Lukaku anafanya vizuri wakati wote
Edgar
ni kweli kabisa yupo vzr sana tangia atoke man u na kwenda inter. Ameonesha uwezo mkubwa sana akiwa inter
Genia Sikaluzwe
Lukaku ni mchezaji mzuri sana
Shafii
Ni kweli ameendana na hali ya Italian na falsafa ya inter na ndo maana anafanya vizuzri ligi hiyo ya serie A
Tahiya
Jamaa hakuwa na bahati pale Manchester United
Isaya massawe
Anafanya vizur sana kuliko alivokua Epl
Samiah
LUkaku anafanya vzr kuliko alikokuwa Epl
Nasra
Lukaku yuko vzuri sana
Tatu
Lukaku anajua mpira
Franky
Nice news…
Salma
Yupo vizur
Hope mwaikuka
Man u walkua wanakwama wap kumtumia
Theckla
Lukaku ni mchezo mzuri na anajua majukum yake
Amiri Kayera
Lukaku mchezaji mzur san ila aitaji team yenye presha ya matokeo
farida ahmadi
Hongera Sana lukaku kwa kuifanya timu yako iwe katika wakati mzuri Sana pia hata mashabiki tunafarijika hasa kwa kuiongoza timu yako vzr
Ernest
Nimefurahi kumuona Lukaku wa Everton amerudi mzigoni, Amekuwa na bahati kubwa sana safari hii akiwa nan Inter milan
Issa
Toka afike inter kiwango hakijashuka amekuwa na perfomance nzuri
Mariam mtandama
Yupo vizur
Janeflora malisa
Nice
Njiku
Lukaku yupo poa sana tangia atue inter
Gabriel
Lukaku n moto kweli Mchezaji wa timu yataifa ya Ubelgiji na klabu ya inter milan , Romelu Lukaku alizaliwa katika mji wa Antwerp nchini Ubelgiji.
Jina lake halisi ni Romelu Menama Lukaku Bolingoli. Akiwa anasheherekea miaka 26 tangu kuliona jua alikuwa na uzito wa kilo 94 akiitumikia klabu ya Manchester United chini ya Kocha Ole Gunnar Solskjaer. Alianza maisha ya kandanda katika klabu ya Anderlecht. Akiwa na miaka 16 alianza kuhumu katika timu ya wakubwa. Katika msimu wake wa kwanza katika Belgian Pro League alimaliza akiwa mfungaji bora na kutwaa taji la ligi hiyo. Msimu wake wa pili alifanikiwa tena kutwaa kiatu cha ufungaji bora maarufu Belgian Ebony Shoe. Alitua katika klabu ya Chelsea mwaka 2011 baada ya kuonwa na wasaka vipaji wa Magharibi mwa London ambao walimwezesha kutua nchini England kwa ada ya pauni milioni 10. Katika msimu wake wa kwanza Stamford Bridge Lukaku hakutaka kuhuduma hapo ndipo alipotolewa kwa mkopo katika klabu ya West Brom mwaka 2012. Akiwa na West Brom alifunga mabao 17 na kuisaidia klabu hiyo kumaliza ya nane katika kampeni za Ligi Kuu ya England msimu huo. Mwaka 2013 alitolewa kwa mkopo kwenda Everton baada ya West Brom kutohitaji huduma yake. Akiwa na Everton msimu huo alifunga mabao 15 katika EPL na kuisaidia Everton kufikisha alama nyingi katika rekodi ya klabu hiyo. hivyo mwaka 2014 alijiunga moja kwa moja na miamba hiyo ya Goodison Park kwa ada ya pauni milioni 28. Baada ya misimu mitatu mfululizo huko Merseyside alifanikiwa kuwamo katika kikosi bora cha msimu kwa wachezaji wanaolipwa msimu wa 2016/17, mwaka 2017 alijiunga na Manchester United kwa ada ya pauni milioni 75. Uhamisho wake uliweka rekodi ya kuwa mchezaji raia wa Ubelgiji ghali kuwahi kutokea katika historia ya taifa hilo. Akiwa na timu ya taifa alicheza mechi 79 akifunga mabao 45 na kuwa mfungaji bora wa zama zote wa taifa hilo. Aliitwa katika timu ya taifa akiwa na miaka 17 mwaka 2010 tangu wakati huo amefanikiwa kuwamo katika michuano mitatu mikubwa ikiwamo miwili ya Kombe la Dunia na moja Michuano ya Ulaya. Mwaka 2018 katika Kombe la Dunia nchini Russia aliiongoza Ubelgiji kumaliza nafasi ya tatu huku yeye mwenyewe akimaliza wa pili kwa ufungaji katika Kombe la Dunia na kutwaa kiatu cha Shaba.
Sabrina
Maoni:Lukaku yupo vzuri
Povel
Lukaku magol mwamba
Furahav
Lukaku anajua sana.
Theonestina
Namkubar Sana lukaku
Latifa juma mohamed
Lukaku , yupo vzr sana
Rehema
Lukaku yukovizur
Caroline
Uyo ndo Lukaku hakosei
Asia Abdy
Lukaku yuko vizur kwakwel
Mwanahamisi
Lukaku yupo Vizuri
Khadija
Lukaku namkubali#meridianbettz
Richard.C
lukaku ni mchezaji mzuri sana
devotha
lukaku ni mchezaji mzuri sana tangu zamani
Samira
Lukaku ni mchezaji mzuri sana