Kocha wa Leicester, Brendan Rodgers hana mashaka na timu yake kujihakikishia nafasi ya kurejea Champions League.
The Foxes, walitwaa taji la Premier League mwaka 2016, walianza vibaya kurejea kwa Ligi Kuu, walipata sare mbili na kupoteza dhid ya Everton.
Lakini ushindi wa 3-0 nyumabi dhidi ya Crystal Palace Jumamosi na kuifanya kusalia nafasi ya tatu.

“Tunatakiwa makini na mchezo ujao,” alisema Rodgers. “Ni matumaini yetu mwisho wa msimu tuttafikia ndoto zetu.”
Leicester wapo pointi moja juu ya nafasi ya nne Chelsea, na Manchester United yenye moto ikiwa pointi mbili nyuma, baada ya kushinda mechi tatu mfululizo.
The Foxes, walimaliza nafasi ya tisa msimu uliopita, mara mwisho walicheza Champions League mwaka 2017 walifanikiwa kufika robo fainali, baada ya kutwaa taji Premier League chini ya Claudio Ranieri.


Flomena
Great
Hilda
Nice
David Pere
Kwa mwendo wanapenda nao wstacheza tu maana kila mechi wanashinda tu
Amani
Leicester wapo pointi moja juu ya nafasi ya nne Chelsea, na Manchester United yenye moto ikiwa pointi mbili nyuma, baada ya kushinda mechi tatu mfululizo.naombea apoteze na Chelsea nao wapoteze ili man u apate nafasi ya kushiriki champions league# meridianbettz
tumaini
Maoni:Leicester ni tim nzuri sana wachezaji wanajituma sana
Fatuma kasomo
Safi
Zeiyana
Wasijisahau sana point moja ya juu ya nafasi ya nne Chelsea na man Chester united yenye moto ikiwa point mbili nyuma baada ya kushinda mechi tatu mfululizo wasijisahau wakiona tayali washamaliza bado manakibarua kizito
Ester jackson
Leicester wanakuja kwa kwa kasi sana ila kwa Chelsea watawapiga tu na atakaa katika nafasi nzuri
warda
Mambo ya Kujiamini tu#Meridianbettz
isha
Kila kitu kwenye hii dunia ni kujiamini ndio mpango mzima
Lydia Emmanuel Magoti
Safiii kujiamini tuu
Dorophina
Inapendeza sana hiyo
Magdalena
Kujiamini ni Jambo muhimu
Tatu
Raha sana kujiamini
felister
👏👏
Angelina
Bado wanakibarua kizito ila kwakuwa wanajiamini watafanya vizuri
Genia Sikaluzwe
Safi
Shafii
Kikubwa ni kupambana wakifanya ivyo watajikita kwenye nafasi yao ileile na kupelekea kushiriki club bingwa msim ujao kwani nafasi wanayo.
Tahiya
Mchuano ni mkali hapo kila timu inapambana kuingia top 4 , hii ndio ule msemo wa adui yako muombee njaa
Isaya massawe
Anatakiwa pia aendelee kushinda maana the blues yupo nyuma anakujaaaa
Nasra
Leicester wanajituma sana uwanjani
Samiah
Kujiamini ndio kila kitu
Salma
Safi sana waskate tamaa
Hope mwaikuka
Vzur
Theckla
Bado wanakazi kubwa Sana
Ernest
Napata mashaka kidogo kwa kauli ya Rodgers kuhusu kucheza Uefa msimu ujao kutokana na hali halisi ya kikosi chake
Issa
Wana kazi ngumu kutoboa inabidi mechi walizobaki nazo wasipoteze
farida ahmadi
Kikubwa wasikate tamaa Leicester city
Amiri Kayera
Bado top 4 ngum ila nimuhim kueka jitiada
Mariam mtandama
Safi
Njiku
Gud news
Janeflora malisa
Nice
Edgar
kabisa dalili zote zipo maana arsenal Leo anakufa
Frank Patrick
Maombi mengi kwake coach na team yake tuwaone tena UEFA
Gabriel
Hv nice update 👍
Sabrina
Maoni:Safi sana hii
Povel
Gud information 👍
Furahav
Habari nzuri
Omary lukumbi
Leicester wako nafasi mzur na watashiriki uefa champions league msimu ujao
Latifa juma mohamed
Gud
Rehema
Safi sana
Caroline
Ongezeni juhudi.mtacheza tu champion League
Asia Abdy
Nice
Mwanahamisi
Safi
Khadija
Habari njema sana#meridianbettz
Richard.C
habari njema
devotha
muhimu kujiamiani
Samira
Anatimu nzuri akiongeza juhudi atafikia malengo yake
Historia ya Ligi Ya Mabingwa Ulaya (UEFA) Kwa Ufupi.
[…] hii, maarufu kama Champions League, ndiyo mashindano ya hadhi kubwa zaidi katika kandanda barani […]