Mziki wa Arsenal vs Leicester Leo

Arsenal vs Leicester: Arsenal watakuwa wanatarajia kuendelea kuwa kwenye fomu nzuri wanapowakaribisha Leicester dimbani Emirates.

Washika mtutu wanaelekea kwenye mechi hii dhidi ya Leicester City wakiwa wametoka kushinda bao 2-0 dhidi ya Wolverhampton.

Kikosi cha Arteta bado kina nafasi finyu sana kupenya Ligi ya Mabingwa. Arsenal wapo nafasi ya saba, wakiwa na tofauti ya pointi 6 dhidi ya Man United walipo nafasi ya 5. Safari ya kuondoa gepu hili na kumaliza 4 bora inaonekana kuwa ngumu zaidi kutokana na fomu waliyonayo Man U kwa sasa.

Arsenal vs Leicester

Ushindi wa gemu iliyopita unatarajiwa kuwa utawapa jeuro Arsenal, ambao pia hawajapoteza gemu ya nyumbani kwa mwaka 2020. Wakati Leceister  wao bado hawajapata ushindi wa ugenini tangia mwaka mpya.

Vikosi vinavyotarajiwa

Arsenal (3-4-3): Martinez; Sokratis, Luiz, Holding; Bellerin, Willock, Xhaka, Tierney; Saka, Lacazette, Aubameyang

Leicester (3-4-1-2): Schmeichel; Justin, Evans, Soyuncu; Albrighton, Ndidi, Praet, Barnes; Tielemans; Vardy, Iheanacho


 

 

44 Komentara

    Kila la kheir chama langu Arsenal apo ni kuomba Mungu miujiza itokee na bahati iwe upande wetu mana muelekeo wa timu siyo mzur

    Jibu

    Kila lakheri arsenal

    Jibu

    Mechi Kali Sana maana Leicester anataka kujiakikishia kusalia nafasi ya tatu wakati arsenal anataka kujikongoja arudi top 4 sio ya kukosa hii mechi ni Kama fainali.

    Jibu

    Arsenal wana kibarua kigumu Leo lazima wapoteze ihii game nyumbani..

    Jibu

    Hii Mechi Ngumu sana#Meridianbettz

    Jibu

    Arsenal mshindi leo

    Jibu

    Hii si ya kitoto

    Jibu

    Hii mechi itakuwa ngumu Sana Arsenal wakaze buti tuu

    Jibu

    Kila la heri arsenal mshinde muwe katika nafasi nzuri mana bahati sasa imeguikia kwenu kutokana na makosa ya timu ya Manchester city waliyo yafanya .

    Jibu

    Leo kuna balaa zito

    Jibu

    Leo itajulikana na bigwa hapo

    Jibu

    Arsenal anashinda 3 bila

    Jibu

    Hii ni mechi ngumu sana lakini nawapa ushindi Arsenal kipindi cha pili.

    Jibu

    Kwa mara nyingine tena kichapo kitawahusu the gunners

    Jibu

    Arsenal mjitume leo msinichanie mkeka

    Jibu

    Mechi itakua ngum na muhim points tatu Kwa wote

    Jibu

    dua langu nawaombea arsenal

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Leicester wanampiga mtu leo

    Jibu

    Ni hatari sana maan mechi kali sana.. ila arsenal Leo anakaa…

    Jibu

    Mechi itakuwa ngumi sana maana leister city wanataka washinde hii game ili wajiakikishie kuwa katika big 4 ili wacheze uefa champi

    Jibu

    Klabu hiyo inacheza katika Ligi Kuu ya soka ya Uingereza. Klabu imeshinda makombe mara 13 ya ligi ya FA, vikombe viwili vya Ligi kuu,
    Arsenal ilikuwa klabu ya kwanza kutoka Kusini mwa Uingereza ili kujiunga na ligi kuu, mwaka 1893, na walifikia Idara ya Kwanza mwaka 1904. Walipigwa mara moja tu mwaka wa 1913, wanaendelea mstari mrefu zaidi katika timu zinazoshikiria nafasi za juu.
    Katika miaka ya 1930, Arsenal ilishinda michuano ya Ligi na vikombe viwili vya FA,walishinda Ligi mara moja na Kombe la FA mara mbili. Kati ya 1989 na 2005 ilishinda makombe ya Ligi mara tano na vikombe vitano vya FA.
    Hivyo basi kwa upande wa watoto Leicester wajipange tena sana maana wanakutana na club kubwa na wazoefu kwenye kupambana na ubingwa

    Jibu

    Arsnal leo lazima ashinde kwao

    Jibu

    Nakaa kwa Arsenal leo naona anapata matokeo mazuri

    Jibu

    Gud news

    Jibu

    Bonge la mechi

    Jibu

    Maoni:Arsenal wanakibarua kizito kumkabili Leicester ila watatoboa tu

    Jibu

    Dua Nene kwa arsenal

    Jibu

    Arsenal anapotea #meeidianbettz

    Jibu

    Mmmh arsenal Leo anapigwa

    Jibu

    Kwa arsenal kazi wanayo leo maana vardy yupo kwenye form sasa hv na ndio anaongoza kwa wafungaji wa epl ana magoli 21 bado anataka kuwaacha mbali wapinzan wake kwa kutwaa kiatu cha dhahabu

    Jibu

    Arsenal naikubali

    Jibu

    Atari atari

    Jibu

    Mechi ilikua kal

    Jibu

    Big mechi

    Jibu

    Bonge la mechi

    Jibu

    Kwa upande wangu Mimi hii mechi niliiona kabisa Kama itatoka sukuhu maana kila timu ikijiandaa vizuri

    Jibu

    Natamani sana arsenal amfunge Leicester

    Jibu

    Natamani arsenal amfunge mtu magoli 4#meridianbettz

    Jibu

    Hii mechi ni ngumu Sana yaani hapa leo ntunaisubiri kwa hamu kuona kivumbii ndani ya Emirates

    Jibu

    ushindi kwa leicester

    Jibu

    Leicester ushindi

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.