Eng.Hersi Mambo Magumu Yanga.


 

Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Mashindano ya Yanga SC mhandisi Eng.Hersi Said amesema hatua ya timu yao kupoteza mchezo dhidi ya Coastal Union ni muendelezo wa kutopata matokeo mazuri katika Uwanja wa CCM Mkwakwani.

Haya matokeo sio mazuri kwetu lakini yanatupa nafasi ya kufahamu kwamba Uwanja wa Mkwakwani ni mgumu kwetu tunapoteza kwa miaka mingi sasa,” amesema Eng.Hersi.

 

Kila Mwanayanga anatakiwa kutumia nafasi yake kutafakari ni wapi tunakosea kila tunapokuja sasa mkoani hapa, ilikuwa hivi pale Jamhuri Morogoro na tukabadilisha mambo msimu huu tuumize kichwa sasa na Mkwakwani.

Aidha Hersi amesema matokeo hayo pia yanatakiwa kufanyiwa tathimini kwa wachezaji wao ambapo watakutana nao mara baada ya kufika Arusha.

Sio afya kuongea na wachezaji sasa baada ya matokeo haya lakini tutaongea nao tukifika Arusha kusikia wanakipi kilituangusha.“aliongeza Eng.Hersi


Ni Muda wa Kuvuna Mkwanja na Jungle Jim and the Lost Sphinx

Hauihitaji kufikira mara mbili ni mchezo gani utakupatia mkwanja ndani ya kasino za Meridianbet. Jiunge sasa ufurahie Jungle Jim and the Lost Sphinx.

  CHEZA HAPA

10 Komentara

    Hata hivyo Yanga imekuwa ikipata ushindi mwembamba tena kwa shida sana

    Jibu

    Yanga amna kitu

    Jibu

    Yanga kazi wanayo

    Jibu

    Polen

    Jibu

    Yanga bado sana

    Jibu

    Yanga ipo juu

    Jibu

    Yanga baba lao

    Jibu

    Yanga mna tuangusha mashabiki wenu

    Jibu

    Pole yao

    Jibu

    Ndo mana wanatimuana

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.