EPL : Mechi Kadhaa Zahairishwa Kwasababu ya Covid-19.

Kunako Ligi kuu ya Uingereza EPL visa kadhaa vya maambikizi ya virusi vya Corona yameendelea kujitokeza na kupelekea kusimamishwa kwa michezo kadhaa mpaka sasa.

 

Manchester United dhidi ya Brighton ni mchezo wa EPL ulioongezeka katika orodha ya michezo hiyo baada ya mchezo wao wa katikati ya wiki dhidi ya Brentford kuhairishwa pia.

Michezo mingine ya EPL iliyohairishwa katikati ya wiki ni pamoja na ule wa Leicester City dhidi ya Tottenham na Burnley dhidi ya Watford. Michezo itakayohairishwa wikiendi hii ni ule wa Southampton dhidi ya Brentford, Watford dhidi ya Crystal Palace na West ham dhidi ya Norwich.

“Mchezo kati ya Man United na Brighton & Hove Albion umehairishwa wikiendi hii na Bodi ya Ligi kuu leo.” ilisema taarifa ya Bodi ya ligi kuu iliyotoka hapo jana.

“Kwa masikitiko Bodi ya ligi kuu imehairisha mechi nne zaidi zilizotarajiwa kucheza wikiendi hii.

“Kwakua afya ya wachezaji wote na viongozi ni kipaumbele, na kwa mwanga wa kuongezeka kwa kesi za Covid-19 nchi nzima, Ligi kuu inarejesha hatua za haraka za kujikinga.

“hii inajumuisha hatua kama kupima mara kwa mara, kuvaa barakoa ukiwa ndani, kujitenga na kuweka muda wa matibabu.” iliongeza taarifa hiyo.


ANZA MSIMU WA SIKUKUU NA BURST THE BANK

Fanya wiki yako iwe ya ushindi mkubwa ndani ya kasino za mtandaoni za meridianbet. Mchezo wa BURST THE BANK🔥🤑 ni moja kati ya mchezo pendwa unaowapa wachezaji mamilioni kila siku. Kwa dau dogo unashinda zaidi.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe