Wiki ya 18 katika ligi ya Serie A inawakutanisha Lazio dhidi ya Genoa ambapo Lazio watakuwa wakilenga kurejea kwenye njia yao ya ushindi baada ya kusuasua wiki za hivi karibuni wakifanikiwa kushinda mara mbili pekee katika mchezo sita iliyopita.

Vijana wa Maurizio Sarri wameketi katika nafasi ya tisa wakiwa wamekusanya jumla ya alama 25 kutoka kwenye michezo 17 wakati wageni wao wapo kwenye nafasi ya 18 kwenye msimamo.
Taarifa ya Timu
Milinkovic-Savic anarejea katika eneo la kiungo wakati kocha Maurizio anatarajia kumchezesha Felipe Anderson katika kikosi kitakachoanza mbele ya Pedro.
Bobby Adekanye ataukosa mchezo wa leo sababu ya jeraha lakini kiungo mchezeshaji Milinkovic-Savic amerehea baada ya kukosa mchezo dhidi ya Sassuolo.
Safu ya ushambuliaji itasimamiwa vyema na Ciro Immobile ambaye atayari amezitikisa nyavu mara 16 katika michezo 21 msimu huu.
Kwa Upande wa Genoa itawakosa tena wachezaji wake Nicolo Rovella, Felipe Caicedo na Mohamed Fares kwa mchezo wa leo dhidi ya Lazio.
Mattia Destro kwa mara nyingine atahusika kwenye mechi hii baada ya kutokea benchi na kufunga kwenye mchezo wa kupoteza kwa Sampdoria kwa 3-1.
Kikosi cha Lazio Kinachoweza Kuanza: Strakosha; Hysaj, Felipe, Acerbi, Marusic; Cataldi, Milinkovic-Savic, Basic; Anderson, Immobile, Zaccagni
Kikosi cha Genoa Kinachoweza Kuanza: Sirigu; Vanheusden, Masiello, Criscito; Ghiglione, Sturaro, Badelj, Hernani, Cambiaso; Destro, Pandev
ODDS ZA KIBABE KUBASHIRIA MCHEZO HUU
Timu zifungane kipindi cha kwanza (IGG Odds 5.00)
Timu zifungane na yapatikane mabao matatu au zaidi (GG&3+ Odds 2.41)
Mchezo uishe kwa sare (X Odds 4.11)
Fanya wiki yako iwe ya ushindi mkubwa ndani ya kasino za mtandaoni za meridianbet. Mchezo wa BURST THE BANK🔥🤑 ni moja kati ya mchezo pendwa unaowapa wachezaji mamilioni kila siku. Kwa dau dogo unashinda zaidi.


