Fallon Sherrock Atinga Nane Bora Grand Slams Darts.

 

Mcheza Darts wa Uingereza, mwanamama Fallon Sherrock ameweka historia katika michuano ya Dunia ya Darts inayoendelea baada ya kupata ushindi dhidi ya Mensu Suljovic pale Wolverhampton.

 

Fallon Sherrock, 27 ameandika historia ya kuwa mwanamke wa kwanza kuingia robo fainali ya Grand Slam ya Darts baada ya kutoka nyuma kwa 2-0 na kushinda 10-5.

Hii ni mara ya pili ndani ya wiki moja kushinda mechi kwa mizunguko mitano zaidi baada ya kufanya hivyo pia katika ushindi wke siku ya Jumamosi iliyopita dhidi ya Mike de Decker.

“Sijui nafanyaje hivi, Najivunia mwenyewe,” alisema Sherrrock

“Haikuwa mechi kubwa sana lakini nachukua ushindi.

“Nilikuwa nyuma kwa 2-0 dhidi yake katika Mashindano ya Dunia na nikarejea, Nilihitaji kutulia na kucheza.” Alliongeza Sherrock ambaye atachuana na Bingwa wa dunia wa 2020, Peter Wright siku ya Jumapili.


WIKI NJEMA NA CRAZY TIME CASINO!

Unasababu milioni za kucheza unavyotaka ukiwa na mabingwa meridianbet, lakini unasababu moja ya kushinda mamilioni katika kasino za mtandaoni za meridianbet. Mchezo maridhawa wa Crazy Time unakupa sababu hizo kuwa mmoja wa washindi leo hii.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.