Fofana Kubaki Leicester Mpaka 2027.

Kwa umbo na umri ni kijana mdogo tu (miaka 21) lakini, uwezo wake kwenye safu ya ulinzi ni mkubwa sana. Huyu ni Wesley Fofana.

Fofana amekuwa ni pengo kwenye safu ya ulinzi ya Leicester City msimu huu. Hii ni kutokana na kupata majeraha wakati wa maandalizi ya msimu huu na toka hapo, hajarejea tena uwanjani kuitumikia timu hiyo msimu huu.

Kwa msimu wa 2020/21, Wesley aliitumikia The Foxes kwenye jumla ya michezo 38 ukiwa ndio msimu wake wa kwanza na klabu hiyo.

https://twitter.com/LCFC/status/1500863855496339456?s=20&t=L_uM1GmPvFCHbyz2eJxPsA

Licha ya kuwa nje ya uwanja, Fofana ameongeza mkataba wa miaka 5 kuendelea kubaki King Power Stadium. Kwa maana hiyo, beki huyu ataendelea kuitumikia Leicester City mpaka 2027.

Kwa hali ilivyo, huenda Wesley akarejea uwanjani wiki hii wakati ambapo, Leicester City watachuana na Rennes kwenye mchezo wa Ligi ya Europa.


VUNA MKWANJA NA SHINDANO LA EVOPLAY SPRING AWEKING

Mchongo mpya mjini ni Shindano la Evoplay Spring Aweking katika kasino maridhawa za meridianbettz. Pata mgao wako wa TSh 25,000,000  katika michezo kibao ya kasino na sloti ziliyochaguliwa kushiriki.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

SOMA ZAIDI HAPA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.