Bondia wa Mexico Canelo Alvarez anajiandaa kufanya mpambano mawili mwaka huu na moja ya pambano ambalo linasubiriwa na mashabiki wa ndondi ni pambano lake na Gennady Golovkin na itakuwa ni pambano lao la mara ya tatu.
Sasa mkali huyo wa masumbwi amemuonya mpinzani wake kwamba anaongea uchafu kuhusu yeye na ameahidi kwamba atalipa kwa kalu zake.
“Sijui kwanini sasa ni wakati wa kukabiliana na Golovkin tena. Kwangu, ni mpango bora zaidi. Ninazingatia pambano na Bivol,” alisema Canelo ambaye kisha akaongeza, “Ndio, ni ya kibinafsi. Anaongea mngi mengi juu yangu, kwa hiyo atalipa.”
Vilevile Canelo alizungumzia pambano lake litaloanza na Dmitry Bivol kabla ya kukanbiliana na GGG mara ya tatu.
“Nimemchagua Bivol kwasababu ni mpiganaji mkubwa, ni mkali katika 175. Nataka kuweka historia.
Mchongo mpya mjini ni Shindano la Evoplay Spring Aweking katika kasino maridhawa za meridianbettz. Pata mgao wako wa TSh 25,000,000 katika michezo kibao ya kasino na sloti ziliyochaguliwa kushiriki.


