Mane Akonga Nyoyo za Watu Wengi Jana Dhidi ya Morocco

Nahodha wa  Senegal, Sadio Mane amesema kuwa aliamua kuwakataza wenzake kugomea mechi ya fainali ya AFCON 2025 dhidi ya Morocco jana kwa kuwa tukio hilo linaharibu taswira ya soka kwa ujumla katika dimba la Prince Moulay Abdallah.

Mane Akonga Nyoyo za Watu Wengi Jana Dhidi ya Morocco

Katika dakika za lala salama za mechi hiyo, Kocha Mkuu wa Senegal, Pape Thiaw aliwaamuru wachezaji wake kutoka nje ya uwanja kufuatia uamuzi wa Refa Jean-Jacques Ndala kuamuru penalti kwenda langoni mwao baada ya Brahim Diaz kufanyiwa faulo na Malick Diouf katika dakika za mwisho mwisho zamchezo.

Hata hivyo nahodha wa Senegal Sadio Mane alionekana kutokubaliana na uamuzi wa kuondoka uwanjani ambapo alionekana akiwashawishi wenzake kuendelea na mchezo.

Akizungumzia mchezo huo, Mane anasema kuwa kwake ni bora wangepoteza mechi kuliko kugomea mchezo.

Meridianbet inakwambia kuwa endelea kubashiri hapa kwani ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya 1000 yapo hapa. Ingia kwenye akaunti yako na uanze safari yako ya ushindi sasa.

Mane Akonga Nyoyo za Watu Wengi Jana Dhidi ya Morocco

“Mpira wa miguu ni kitu cha kipekee, dunia ilikuwa inaona, dunia inapenda soka na nadhani mpira wa miguu ni burudani hivyo tunapaswa kutoa taswira nzuri kwa mpira wa miguu”. Alisema mchezji huyo wa zamani wa Liverpool na FC Bayern Munich.

Lakini pia Sadio aliongeza kuwa anadhani ingekuwa ni uchizi kutocheza kwa sababu gani, refa ametoa penalti na sisi tutoke nje ya mchezo. Anadhani ingekuwa jambo baya hasa kwa soka la Afrika. “Nipo tayari kupoteza kuliko hili kutokea katika soka letu”.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.