Aston Villa leo saa 09:45 anakuwa mwenyeji kumkaribisha Brentford, wakali hawa wanakutana wakiwa na rekodi zinazofanana za hivi karibuni. Wote wanarekodi ya kutofungwa kwa mechi tatu walizocheza hivi karibuni na wakiwa wame toa sale kwa mechi moja moja.
Aston Villa anakutana na Brentford baada ya kuwachapa Hulcity bao 3-1 tarehe 6 mwezi huu , na Wigan bao 3-2 tarehe 11 mwezi huu, huku akitoa sale ya 1-1 kwa Ipswich Town tarehe 18 mwezi huu. wakati huo Brentford anakutana na Villa akiwa ameshawapiga Rotherham 5-1 tarehe tarehe 4 mwezi huu, na Sheffield Wed 2-0 tarehe 19 mwezi huu pia akiwa ametoa sale ya 1-1 na Stoke City tarehe 11 mwezi huu.
Rekodi za timu hizi zinafanya game ya leo kuwa ngumu sana kwa timu zote mbili japokuwa rekodi za vipindi vinne vya kukutana kwao inampa nafasi kumbwa Brentford dhidi ya Aston Villa kama inavyoonekana hapa chini;
| 2017-12-26 | Brentford – Aston Villa | 2-1 |
| 2017-09-09 | Aston Villa – Brentford | 0-0 |
| 2017-01-31 | Brentford – Aston Villa | 3-0 |
| 2016-09-14 | Aston Villa – Brentford | 1-1 |


Povel
Habar njema
isha
Mtanange utakua hatari sana
Furahav
Iko vizuri.
Issa
Iko poa