Balaa la Usain Bolt Kuhamia Kwenye Soka

Mwanariadha machachari Usain Bolt kwa sasa  anafurahia kuanza kazi yake katika soka. Mwanariadha huyu ambae kwa mujibu wa Jarida la Forbes Juni 2017 ana utajiri unaokadiriwa kuwa na thamani ya dola za kimarekani  milioni 34.2 akiwa kwenye orodha ya wanariadha wanaolipwa zaidi duniani.

Bolt amekuwa akifanya mazoezi ya soka na kwa sasa yupo na upande wa Australia Central Coast Mariners. Mwanariadha huyu anatamani kuja kuichezea club ya Man Utd japokuwa duru zinahoji kama mwanariadha huyu anaviwango stahiki kuingia Man Utd?.

Bolt amesherekea siku yake ya kuzaliwa  jana tarehe 21 Agust akiwa anatimiza umri wa miaka 32  alisisitiza nia yake ya  kuhamia kwenye soka huku akidai huu ni wakati wake muafaka wa kujifunza na kuwa mchezaji wa kulipwa na atajifunza na kuwa bora zaidi kufikia levo hizo.

Uwezo wa Bolt katika soka unatiliwa shaka na baadhi ya wanasoka ambao wamebahatika kumuona akijifunza na kucheza lakini baadhi wanaamini atafikia mafanikio fulani lakini kwa kuongeza nguvu kubwa sana na jitihada za ziada.

Usain Bolt akiwa mchezoni

3 Komentara

    Wamsaini tu

    Jibu

    Habar njema

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.