Cannavaro alimlilia Carlo Anzilotti

Bingwa wa soka, mchezaji wa zamani na meneja wa Guangzhou Evergrande, Fabio Cannavaro anasema, yeye na wenzie walimlilia Cannavaro alipokuwa alipowaaga kuondoka. Cannavaro alijifunza kwa Anziloti akiwa Parma mwaka 1996-1998.

Bingwa huyu anakumbuka vitu vingi alivyojifunza kutoka kwa Anzelotti, anakumbuka miondoko mbalimbali ya gemu aliyojifunza. Anadai ilikuwa wakati mgumu sana kwao kumuaga mkali huyo alipokuwa anaenda kujiunga na Ac Millan, wachezaji wote walikua wakilia.

“..alifika Parma nikiwa bado mdogo sana, mwanzo aliamini ningeweza kucheza vizuri kama beki wa kushoto, alikuwa na makosa machache sana kama kocha, lakini baadae alikuja kujua kuwa mimi na lian Thuram tunacheza vizuri tukiwa katikati” -maneno ya Cannavaro. anaamini Chelsea ya Maurizio Sarri itaoeta sana katika Ligi ya Primier kwa sababu ya alitengenezwa vyema na na Anzilotti.

2 Komentara

    Cannavaro yupo juuu

    Jibu

    Noma sana.

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.