Man Utd Imemfanyia "Interview" Rudi Garcia

Manchester United wamemfanya mahojiano na kocha wa zamani wa klabu ya Lyon na Marseille Rudi Garcia kama mmoja wa makocha ambao wanahitaji kuchukua nafasi ya kuwa kocha wa muda kwenye klabu ya Man Utd.

Mwengine ambaye anayehusishwa na kazi ya kocha wa muda ni kocha wa zamani wa klabu ya Barcelona Ernesto Valvarde huku kukiwa na taarifa mbalimbali ambazo zikuhusisha kuwa yuko mbioni kutuwa Man Utd.

Man Utd

Man Utd wanatafuta kocha wa muda kwa sababu waanamini kwamba kuwa mwisho wa msimu wanaweza kupata saini za makocha wenye majina makubwa, huku kwenye listi wakiwemo Mauricio Pochettino na Brendan Rodgers.

Kwenye kikao chake jana na waandishi wa habari kwenye mchezo wa ligi ya mabingwa Ulaya dhidi ya Man City, Pochettino alijiengua kwenye uvumi huo kuwa yuko mbioni kutua jijini Manchester huku akikazia kuwa anapenda kuwepo Paris.

Man Utd

Rudi Garcia ni kocha wa kifaransa ambaye amevifundisha vilabu mbalimbali vikiwemo Saint-Etienne, Lille, Marseille, Lyon na Roma, pia na mwaka 2011 alipokuwa kocha wa Lille aliweza kuchukua ubingwa wa Ufaransa na kombe la Coupe de France


PANDISHA THAMANI YA DAU LAKO NA FAI CAI SHEN

Wiki nyingine ya kushinda mamilioni ukiwa na kasino maridhawa za meridianbettz. Mchezo pendwa wa Fai Cai Shen unakupa thamani ya dau lako, kwa kiasi kidogo cha dau unaweza kushinda mkwanja mrefu.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.