Baada ya Cristiano Ronaldo kuachana na Manchester United sasa wameripotiwa kufikia makubaliano ya kumsajili Vincent Aboubakar kutoka Al Nassr. Pata Odds za Soka hapa.

 

vicent aboubakar

 

Mshambuliaji huyo aling’ara kwa Cameroon kwenye Kombe la Dunia akiwa nahodha wa nchi yake na kufunga mabao mawili katika mechi tatu.

Haya yanajiri baada ya Cristiano Ronaldo kukamilisha uhamisho wake wenye thamani kubwa huko nchini Saudi Arabia.

Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 37 alitambulishwa mapema wiki hii, lakini hadi sasa hajaweza kucheza kwa mara ya kwanza katika klabu hiyo kutokana na kupigwa marufuku ya mechi mbili kipindi akiwa Manchester United. Unaweza kubashiri mechi zote kila mechi ina odds kubwa ya soka.

 

ronaldo

Kulingana na jarida la Saudi OKAZ, kuhamia kwa Aboubakar kwenda United kunaweza kufungua njia kwa nyota wa zamani wa Mashetani Wekundu, Ronaldo kusajiliwa kucheza Ligi ya Saudia.

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa