Cristiano Ronaldo amefanya mazungumzo na Bayern Munich huku akipanga kuondoka Manchester United katika dirisha la usajili la Januari.

Katika mahojiano na Piers Morgan, Ronaldo alidai kuwa anahisi kusalitiwa kwa sababu bosi wa United Erik ten Hag na watendaji wa klabu wanajaribu kumtoa nje ya klabu kwa nguvu. Odds kubwa za meridianbet.

ronaldo

Lakini ripoti zinasema kwamba Ronaldo na wakala wake, Jorge Mendes, walikutana na Bayern wiki iliyopita baada ya maafisa hao wa Bundesliga kuelekea Uingereza kwa mazungumzo.

Mendes alimpigia debe Ronaldo kwa Bayern na vilabu vingine kadhaa vikiwemo Chelsea, Sporting Lisbon na Napoli katika majira ya joto katika jaribio la kutaka kumtoa mteja wake nyota kutoka United, na pia alizungumza na Newcastle mwezi uliopita. Tazama odds bomba na kubwa hapa.

ronaldo

Mtendaji mkuu wa Bayern Oliver Khan alithibitisha mwezi Julai kwamba walikuwa wamefikiria kumnunua Ronaldo, lakini akasema kwamba hafai katika ‘falsafa’ ya klabu hiyo.

Wajerumani pia hawakutaka kulipa mshahara wa mchezaji huyo wa pauni 500,000 kwa wiki baada ya kulipa paundi milioni 35 kwa Liverpool kumchukua Sadio Mane kama mbadala wa Robert Lewandowski. Hata hivyo, Bayern wamefufua nia yao huku kukiwa na wasiwasi juu ya utimamu wa Mane na kutokuwa na uhakika juu ya mustakabali wa Eric Maxim Choupo-Moting. Beti na meridianbet wana odds bomba.

Ronaldo anatamani sana kucheza tena Ligi ya Mabingwa Ulaya baada ya kumuona mpinzani wake Lionel Messi akikaribia kufunga mabao 11 kati ya rekodi yake ya 140. Cha kustaajabisha ni kwamba Bayern watakutana na Messi na Paris Saint-Germain katika mchujo wa kuwania kufuzu kwa 16 bora mwezi Februari.

Mmiliki wa Chelsea Todd Boehly pia anaweza kumpa Ronaldo njia ya kuondoka United mwezi Januari. Mmarekani huyo ana uhusiano wa karibu na Mendes na alivutiwa na Ronaldo msimu wa joto, lakini alikumbana na upinzani kutoka kwa meneja wa Chelsea wakati huo Thomas Tuchel. Odds bomba zinapatika hapa.

Hata hivyo, inafahamika kwamba Graham Potter pia hajafurahishwa na matarajio ya kusaini mshindi huyo mara tano wa tuzo ya Ballon d’Or katika hatua hii ya maisha yake ya soka.

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa