PSG Yapoteza Mchezo Wake wa Kwanza Jana

 

Kule Ligi ya Ufaransa klabu ya PSG walipoteza mchezo wao wa kwanza chini ya meneja mpya Luis Enrique walipochapwa 3-2 na Nice licha ya Kylian Mbappe kutupia mabao mawili.

 

PSG Yapoteza Mchezo Wake wa Kwanza Jana

Terem Moffi aliipatia Nice bao la kuongoza lakini Mbappe alisawazisha kwa shuti la kwanza kutoka pembeni ya eneo.

Aviator, poker, Roullette, Wild Icy Fruits, Piggy Party na mingine kibao upige pesa na Meridianbet. Ingia www. meridianbet.co.tz.

Gaetan Laborde aliwarudisha wageni kwa bao la kuongoza na Moffi akafunga bao baada ya muda mfupi.

PSG Yapoteza Mchezo Wake wa Kwanza Jana

Voli ya Mbappe iliipa PSG matumaini ya kusawazisha dakika za lala salama lakini hawakuweza kupata bao muhimu zaidi.

Beti na Meridianbet kwa odds kubwa na machaguo kibao, pia unaweza kubashiri mubashara.

PSG Yapoteza Mchezo Wake wa Kwanza Jana

Licha ya kutokuwa na uhakika juu ya mustakabali wake, nahodha huyo wa Ufaransa tayari amefunga mabao saba katika mechi tano pekee alizocheza kwenye Ligue 1. Ushindi huo unamaanisha kwamba Nice inasonga mbele ya PSG hadi nafasi ya pili, nyuma kidogo ya Monaco.

Acha ujumbe