Kiungo wa timu ya taifa ya Morocco na klabu ya Fiorentina Sofyan Amrabat avitoa udenda vilabu mbalimbali barani ulaya kutokana na uwezo wake ambao ameuonesja kwenye kombe la dunia.

Kiungo huyo anayekipa katika klabu ya Fiorentina nchini Italia amewaeka vitani vigogo wa soka barani ulaya baada ya uwezo mkubwa aliounesha katika mchezo wa kwanza wa kombe la dunia dhidi ya timu ya taifa ya Croatia na mchezo huo kumalizika kwa suluhu ya bila kufungana.vilabuAmrabat ambaye alikaribia kujiunga na klabu ya Tottenham kabla ya dili hilo kufa mwishoni huku ikiwa ni pendekezo la kocha Antonio Conte ambae alivutiwa na kiwango cha mchezaji huyo wa klabu ya Fiorentina ya nchini Italia.

Kiungo Amrabat anasifika kutokana uwezo wake wa kuweza kutengeneza uwiano wa kushambulia na kuzuia huku sifa kubwa ni uwezo wake wa kupiga pasi ndefu zenye macho kitu kinachowafanya makocha wengi kuvutiwa na uwezo huo kutoka kwa kiungo huyo.vilabuKiungo huyo ameanza kufatiliwa na vilabu mbalimbali barani ulaya ili kuweza kuangalia uwezekano wa kupata huduma ya kiungo huyo fundi mzaliwa wa Uholanzi mwenye asili ya Morocco.

machaguo spesho

Kombe la Dunia Linatimua Vumbi huko Qatar ni timu 32, sawa na mechi 64 zitapigwa kwenye viwanja tofauti. Meridianbet wana uwanja wao wa Kushiriki na wewe wakati Michuano hii inaendelea. Uwanja wa Machaguo Spesho ni Kwa ajili yako, wewe Bingwa wa Kubeti. Unaweza kubeti ni Timu gani itachukua Ubingwa, Timu gani Itaongoza kuwa na kadi nyingi za Njano na Nyekundu, au Timu gani itatoka mapema kwenye michuano hiyo. Uamuzi ni wako. Chaguo ni lako. Hii ipo mpaka mwisho wa Kombe la Dunia.

BONYEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa