Mkurugenzi wa ufundi wa AC Milan, Paolo Maldini bado ana imani kuwa timu yake inaweza kushinda taji la Serie A baada ya kuwa na mwendelezo mzuri wa matokeo kwenye Ligi hiyo na kushika nafasi ya pili.

 

Maldini: Milan Wanaweza Kuchuana na Napoli Kwaajili ya Scudetto

Bao la dakika za lala salama kutoka kwa Nikola Milenkovic liliipa Milan ushindi wa 2-1 dhidi ya Fiorentina Uwanja wa San Siro hapo jana kwenye mchezo wa mwisho kabla ya Kombe la Dunia, na hivyo kupunguza pointi 8 dhidi ya kinara Napoli.

Maldini anaamini kuwa timu yake inaweza kushindania taji hilo, lakini ni kitu amabcho sio rahisi kuiondoa Napoli iliyo katika kiwango bora msimu huu licha ya kuwa na matokeo yanayovutia, na wanahisi mbio bado hazijakamilika.

Maldini: Milan Wanaweza Kuchuana na Napoli Kwaajili ya Scudetto

Mkurugenzi huyo alisema kuwa mwaka jana kwenye Dabi walikuwa na pointi saba kutoka kwa Inter, na kisha walishinda . Sio rahisi kushika kasi hiyo hadi mwisho kwahiyo inabidi waue labda kwasasa wamekosa nguvu kidogo.

Maldini hakuishia hapo alisema kuwa lazima wadumishe ari na shauku iliyofanya washinde mwaka jana, huku akimuunga mkono Charles De Ketelaere ambaye bado hajacheza vizuri na Milan baada ya kuwasili kutoka Club Brugge.

Maldini: Milan Wanaweza Kuchuana na Napoli Kwaajili ya Scudetto

Bado hajazoea mazingira na wana mkataba wa miaka mitano na Charles, sio miezi mitano, wanangoja hukumu lazima ziwe sehemu. Muda ndio utakaoamua kama anaweza kufaa.


aviator

Ulishawahi kuwaza kuwa rubani wa maisha yako!! Kuwa rubani wa mchezo pendwa wa Aviator wa kasino mtandaoni. Aviator bonanza inazidi kutoa michongo ya mkwanja kwenye nyumba ya mabingwa. Unarusha ndege yako na unashinda, kuwa rubani wa kujivunia kwa kuibuka na mkwanja leo.

BONYEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa