Napoli Wana Wasiwasi Baada ya Majeraha ya Olivera

Napoli wana wasiwasi kwamba Mathias Olivera amepata jeraha baya sana baada ya kutolewa nje kwa machozi wakati wa mchezo na Atalanta.

 

Napoli Wana Wasiwasi Baada ya Majeraha ya Olivera

Beki huyo wa kushoto alikuwa akikimbia bila mpinzani yeyote karibu wakati alipoteleza ghafla na kuteguka vibaya goti lake la kushoto.

Aviator, poker, Roullette, Wild Icy Fruits, Piggy Party na mingine kibao upige pesa na Meridianbet. Ingia www. meridianbet.co.tz.

Ikadhihirika mara moja kwamba hilo lilikuwa jeraha baya na alifungwa kwenye machela, huku akitokwa na machozi kwenye Uwanja wa Gewiss huko Bergamo.

Napoli Wana Wasiwasi Baada ya Majeraha ya Olivera

Hili ni jambo la wasiwasi zaidi kwa kocha mpya wa Napoli Walter Mazzarri, ambaye ndio kwanza alichukua mikoba ya Rudi Garcia wakati wa mapumziko kwa majukumu ya kimataifa, kwa sababu sasa hakuna mabeki wa kushoto.

Mario Rui tayari yuko kwenye matibabu kutokana na mkazo wa paja na hatarajiwi kurejea hadi angalau katikati ya Desemba.

Odds kubwa kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti ni vitu vinavyoweza kubadilisha maisha yako kwa kukupatia pesa nyingi. Ingia mchezoni hapa.

Napoli Wana Wasiwasi Baada ya Majeraha ya Olivera

Juan Jesus anatakiwa kujaza upande wa kushoto wa safu ya ulinzi wakati uliosalia wa mchezo wa Serie A akiwa na Atalanta, lakini hili ni tatizo kuelekea mechi ya Napoli siku ya Jumanne ya Ligi ya Mabingwa dhidi ya Real Madrid.

Beki wa pembeni wa Atalanta Davide Zappacosta pia alichechemea wakati wa mechi hii, baada ya kuteguka kifundo cha mguu.

Acha ujumbe