Thomas Zilliacus anasisitiza kuwa anataka kuinunua Inter lakini hataki kulazimishwa kwa heshima ya Rais Steven Zhang.
Mjasiriamali huyo wa Kifini hakuwa ameficha hamu yake ya kupata hisa nyingi katika Inter wakati wa kiangazi na akasisitiza kwamba angependa kuinunua Nerazzurri katika mahojiano na SempreInter.com.
Aviator, poker, Roullette, Wild Icy Fruits, Piggy Party na mingine kibao upige pesa na Meridianbet. Ingia www. meridianbet.co.tz.
“Nimesema hadharani kwamba nina nia ya kuinunua Inter. Lakini, lazima wamiliki wa sasa wawe na nia ya kuiuza Inter pia na sina uhakika kwamba ndivyo wanataka kufanya. Nimeona taarifa za Suning ambapo wamesema kujitolea kwao kwa Inter ni kwa muda mrefu. Na ninataka kuheshimu mapenzi yao, sitaki kushinikiza.” Alisema
Zilliacus alisema bila kueleza kwa undani anaweza kusema hivyo sasa hakuna mazungumzo ya moja kwa moja yanayoendelea. Lakini hataki kuingia kwa undani zaidi. Anaheshimu sana familia ya Zhang na wakurugenzi wa klabu.
Beti na Meridianbet kwa odds kubwa na machaguo kibao, pia unaweza kubashiri mubashara.
Kama wanataka kusema jambo kuhusu jambo hili basi ni kwa hiari yao. Sitaki tu kuja kama mtu wa kushinikiza au kuendelea na mambo. Au kwa njia yoyote useme jambo ambalo linaweza kutoeleweka. Alimaliza hivyo.