Sakata la Lionel Messi kuondoka Barcelona linaendelea kupamba moto. Safari hii La Liga wameamua kuvunja ukimya na kutoa muongozo wa jinsi zoezi hili linavyoweza kumalizika.
Mapema Jumanne, Messi aliutaarifu uongozi wa Barcelona juu ya adhma yake ya kutaka kuondoka kwenye timu hiyo ambayo amehudumu kwa miaka yake yote ya soka mpka sasa. Imeripotiwa kuwa, mchezaji huyo hakutokea kwenye vipimo vya afya siku ya jana ikiwa ni maandalizi ya kuelekea msimu ujao.
Messi amekuwa akishinikiza kuondoka kama mchezaji huru kulingana na kipengele cha mkataba wake kinachomuwezesha kufanya hivyo kila mwisho wa msimu. Japokuwa, uongozi wa Barcelona unasisitiza muda wa kipengele hicho kuwa halali uliishia Juni 30, 2020 na sasa atapaswa kuondoka kwa dau lililowekwa kwenye mkataba.
La Liga kutoondoa usajili wa Messi kama mchezaji wa Barcelona.
“Kwa kuzingatia utekelezaji wa sheria, La Liga haitothibitisha ombi la kuondoa usajili wa mchezaji mpaka dau lililopo kwenye mkataba likifikiwa.” tamko la shirikisho hilo limesema.
Majadiliano baina ya wanasheria wa Messi na uongozi wa Barcelona yanaendelea huku maridhiano yakiwa mbali kufikiwa.
SHINDA NA HI LO
Sasa hii ni rahisi zaidi kupata USHINDI! Unatabiri karata ipi ipo chini au juu, kisha unakusanya mkwanja wako.


warda
Huyu Messi Anapotezea Machungu ya kufugwa hahaaaaaa#Meridianbettz
Theonestina
Asanteni meridianbet kwa makala nzuri
Mwanahamisi
Bora tuu aende akabadilishe upepo mwingine#meridianbet
Mwajumah
Acha Messi aende akabadilishe upepo tu#Meridianbettz
felister
Tetesi ya Messi kuondoka barca inazidi kupamba moto Messi sema chochote basi kuhisiana na hili
Fatina mfigi
Itakuwa Ni kweli messi anataka kuondoka maan izi taarifa zinapamban moto
Devotha
Wamuache aondoke tu
magdalena
messi kama kashautaarifu uongozi na kashaamua kuondoka wamruhusu tu
Tatu
Tatizo barcelona awajiamini wanaona wakimuachia mess andoke club yao itapooza kila kitu kina mwazo na mwisho
Lydia Emmanuel Magoti
Messi kashamua lake wamuache haende tuu kwasababu yeye Ndio uwamuzi wake aliouchukua kuondoka
Adelta
Kama anaondoka aende tu @meridianbettz
Zeiyana
Ki ukweli messi hanavyo wafanyia barcelona sio vizuri kama hanataka kustaaf angestaaf tu sio kuwapa watu jamba jamba
Salma ngende
Walimchokoza wenyewe wacha awaonyeshe cheche
Povel
Wakati umefikah wamwache haende tu watafute mbadala wa kupromote ligi ya la liga tu
Rose kapinga
Hatar tupu,messi gumzo mjini!!!
aisha
Messi uamuzi ni wako wewe mwenyewe kuondoka au kuabaki barc
Sadick
Messi ni brand ya Laliga, nadhani wanahofia umaruufu utashuka. Kitendo cha Ronaldo kusajiriwa Juventus ilipaisha Serie A duniani kote#meridianbettz
Furahav
Noma sana.
Omary lukumbi
Noma sana
Janeflora malisa
Hatar
Shan
Kweli Messi amedhamiria kutimka barca.
Agness
Asiondoke abaki tuu hapo ndio pans mfaaa
rama
duuu wamuache tu messi akaangalie maisha mengine EPL
Issa
Mess kusepa barca ni ngumu sana kwakuwa barca itaahitaj pesa nyingi tu
Khadija
Acha messi aende kwan kambi popote
Samiah
Duuh
Amiri Kayera
Kuvunja mkatab wake shughur
Hope mwaikuka
Duh! Pagumu hapo
Ernest
Messi ni mchezaji huru sasa Barca wanatakiwa watafute njia mbadala lakini Messi hawezi kubaki
Sabrina
Kaitumikia sana barca asepe tu
Rehema
Aisee
Rehema Dickson
Iyo inaitwa mwenye kisu ndo mla nyama kazi kwao
lombo
maisha popote
marry
asante kwa taarifa
farida ahmadi
Messi atulize kwanza akili yake asijekujutia maamuzi yake
Samira
Wamuache jamani akabadili madhari sehemu nyingine
Shafii
Dirisha la usajiri litakapo fungwa tutaelewa anabaki wapi.
Saupha mohamed
Messi aendee na kwengine
Ester jackson
naona laliga wanataka kumuweka sana messi wamuachie tu aende man city
Dorophina
Msimu huu kweli Messi amehamua kutimka Barca wamuachie tu haondoke akatafute maisha sehemu nyingine
Caroline
Messi kashadhamiria kuondoka wamuache tyu
David Pere
Messi ni mchezaji huru sasa Barca wanatakiwa watafute njia mbadala lakini Messi hawezi kubaki
Neema
Kambiii popote
Nasra
Hatarii