Tetesi za Soka Barani Ulaya.


Tetesi zinasema Manchester City wanajiandaa kulipa kiasi cha pauni Milioni 450, ili kuweza kusajili Lionel Messi ikiwa ni mpango wa kumsajili kwa miaka mitano na sehemu ya mkataba huo kujiunga na timu New York City.

Tottenham ilijaribu kutaka kuingilia kati na kuvurugwa uhamisho wa kiungo wa Ajax Donny van de Beek, anayekwenda kujiunga na Man United.

tetesi zinasema Manchester United imefanya mazungumzo na Aston Villa wakati inajitahidi kufikia makubaliano ya mchezaji Muingereza Jack Grealish, 24.

 

Tetesi za Soka Barani Ulaya.

tetesi zinasema Manchester United imejiunga na Liverpool katika kinyang’anyiro cha kumsaka kiungo wa kati ya Bayern Munich na Uhispania Thiago Alcantara, 29.

Leeds United imeonesha nia ya kumsajili kiungo wa kati wa Udinese raia wa Argentina Rodrigo de Paul,26, lakini imearifiwa kwamba hatua yoyote ya kumsajili mchezaji huyo itawagharimu pauni milioni 31.

Tottenham na Newcastle zimeonesha nia ya kumsajili mshambuliaji wa Bournemouth na Norway Josh King, 28.

Valencia imemuulizia kiungo wa kati wa Arsenal Matteo Guendouzi, 21, raia wa Ufaransa.

 

Tetesi za Soka Barani Ulaya.

Kiungo wa kati wa Barcelona na Chile Arturo Vidal, 33, atakuwa huru kurejea klabu yake ya zamani ya Juventus.

Kocha wa Inter Milan Antonio Conte anataka kumsajili kiungo wa kati wa Ufaransa N’Golo Kante, 29, kutoka Chelsea.

Tetesi zinasema Wakala wa Emerson Palmieri amesema Inter inapania kumsajili beki wa kushoto wa Italia, 26, kutoka Chelsea msimu huu.

Mshambuliaji wa Ufaransa wa West Ham Sebastien Haller, 26, amekataa fursa ya kujiunga na Hertha BSC.

 

Tetesi za Soka Barani Ulaya.

Barcelona italazimika kulipa pauni milioni 12 ikiwa inataka kukatiza mkataba wa mshambuliaji wa Uruguay Luis Suarez, 33.

Wakala wa kiungo wa kati wa Roma Amadou Diawara amesema Arsenal inamwinda mchezaji huyo wa Guinea, 23.


SHINDA NA HI LO

Sasa hii ni rahisi zaidi kupata USHINDI! Unatabiri karata ipi ipo chini au juu, kisha unakusanya mkwanja wako.

Cheza Sasa.

43 Komentara

    city wajitahidi kutoa iko kitita ili wamnyakue messi

    Jibu

    Man City wajitaidi kukitoa kitita chapesa kumnyakua Messi kwasababu sio Kaz laisi kumnyakua jembe huyo

    Jibu

    Man city naona imeamua kumchukua mess barcelona nao kama wanasuasua kumuachia mess

    Jibu

    Kama Manchester city wamejipanga wamchukuwe tu lakini sithani Kama Barcelona watakubali@meridianbettz

    Jibu

    Antonio Conte inaelekea shabiki mkubwa wa Ngole Kante mpaka anamutaka Inter#meridianbettz

    Jibu

    Habari nzuri sana #Meridianbettz

    Jibu

    Citty acheni ubahili chukueni jembe hilo

    Jibu

    Messi ndio timu aliyo hichagua kwenda kuichezea man chester city so tunasubiri kuona hayo mabadilko kutoka kwake

    Jibu

    Habari njema

    Jibu

    Habari nzuri

    Jibu

    Dirisha la usajil ulaya mambo ni moto yan waswahil wanasemah ugali moto mboga ya moto hatar sana ngoj tuone nan mwenye kisu kikali iliawez kula nyama

    Jibu

    Pesa inaongea apo ama kweli hakuna mkate mgumu mbele ya chai!!!

    Jibu

    Huyu messi sasa ndio habari ya mjini basi city wekeni mpunga mumchukue jembe uyo

    Jibu

    Man united sijui wanafeli wapi kwenye usajili

    Jibu

    Habari nzuri.

    Jibu

    Man United wanazingua tuu

    Jibu

    Habari njema

    Jibu

    Wana Kwam wap

    Jibu

    Tetesi zimekaa poa.

    Jibu

    Asante meridian kwa habari njema

    Jibu

    nitashangaa sana barcelona endapo watakata dau hilo kutoka kwa man city

    Jibu

    Habari njema

    Jibu

    Habari njema

    Jibu

    Man u ikifanikiw utakua usajir mzur

    Jibu

    Usajili umekaa poa ila nataman Messi angeenda Chelsea sio man city

    Jibu

    Man U wamefanya kitu cha msingi sana kumsajili Van de Beek

    Jibu

    Man city wajkaze basi wamchukue mess

    Jibu

    Bonge la makala

    Jibu

    Asante kwa habari nzuri#meridianbet

    Jibu

    saf

    Jibu

    Ni kweli Messi kuondoka Barcelona kwenda Manchester city ngoja tujionee wenyewe

    Jibu

    Habari njema

    Jibu

    Messi akitua man city itakua bomba sana

    Jibu

    Thiago alcantara yuko vizuri Sana man u wakibahatika kupata kandarasi yake itakua imelamba dume.

    Jibu

    Habari njema

    Jibu

    Chelsea ingependeza kama msingemtoa ngolo mana yuko vizuri jamani

    Jibu

    Tetesi za Messi sasa zinaleta gumzo maana kila mtu anasema la kwake yy ndio mwenye maamuzi ya kuamua wapi anahitaji kwenda

    Jibu

    Asante kwa taarifa

    Jibu

    Dirisha la usajil ulaya mambo ni moto yan waswahil wanasemah ugali moto mboga ya moto hatar sana ngoj tuone nan mwenye kisu kikali iliawez kula nyama

    Jibu

    Habari nzuri

    Jibu

    Yan apo pesa ndo kila ktu mancity achen ubahil

    Jibu

    Imekaa poa sana 👍

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.