Robert Lewandowski Mchezaji wa Mwaka Ujerumani

Robert Lewandowski  atwaa tuzo ya mchezaji bora wa mwaka Ujerumani baada ya kufanya vyema katika msimu uliopita akiwa na Bayern Munich.

Tuzo hii hutolewa kwa kupitia kura zinazopigwa na wawakilishi wa watangazaji, walioshirikiana na gazeti la Kicker.

Lewandowski amepata jumla ya kura 276, huku Bayern wakikamata nafasi za juu. Nafasi ya 1, 2 na ya 3 zilichukuliwa na Lewandowski, Thomas Muller aliyepata kura 54 na Joshua Kimmich aliyepata kura 49.

Robert Lewandowski Mchezaji wa Mwaka Ujerumani

Bayern wamefanikiwa kuwa na msimu poa sana wa 2019/20, baada ya kutwaa taji la Bundesliga na DFB Pokal kabla hawajachukua Ubingwa wa Ulaya kwa kuwachapa Paris Saint Germain bao 1-0.

Lewandowski, mwenye miaka 32, amefunga magoli 55 kwenye michuano yote na kuwa mchezaji wa kwanza ambaye siyo raia wa Ujerumani kushinda taji hili baada ya Kevin De Bruyne kupata heshima hii 2015.

Robert Lewandowski

“Ninajivunia sana. Hii ni kwa sababu ya matarajio yangu ya kufika juu zaidi na kujaribu kufanya vyema kila siku kuyafikia matarajio haya.”

“Kiwango ni kikubwa saba kwa magoli 25 kwa msimu inaonekana kuwa kawaida hapa Bundesliga. Nilijitahidi sana kwa bidii zangu binafsi na timu kwa ujumla, ambayo imeenda poa sana kitaifa na kimataifa.”


SHINDA NA HI LO

Sasa hii ni rahisi zaidi kupata USHINDI! Unatabiri karata ipi ipo chini au juu, kisha unakusanya mkwanja wako.

Cheza Sasa.

40 Komentara

    Pongez kwake Amestail kuwa mchezaji Bora msimu huuu Kwan lewondowski amekuwah kwny kiwango Bora Sana co ujerumani tu hapa kwny UEFA champions league ni top scores msimu huu natumain Kama tuzo za PFA natumain lewondowski ungekuwah inamuhusu sana msimu huu congrats Robert lewondowski top scores ujerumani na kwny UEFA champions league🤝🤝🤝🤝

    Jibu

    Anajuhudi sana na anajua anachokifanya kiwanjani,anastahiki kua mchezaj bora!!!

    Jibu

    Habari njema

    Jibu

    Bravo

    Jibu

    Lewandowski deserve it#meridianbettz

    Jibu

    Ni haki yake kuwa mchazaji bora kwani kazi aliyoifanya siyakitoto halafu robert ana nidhamu ya kazi

    Jibu

    Mzawa wa Poland msimu huu katisha sana pongezi kwake

    Jibu

    ana haki ya kupata maana anajituma sana kwa upande wake

    Jibu

    Hongera sana robert

    Jibu

    Nice

    Jibu

    Ongera yake Lewandowski

    Jibu

    Pongezi yake sana robert#Meridianbettz

    Jibu

    Lewandoski alistahili hiyo tuzo.

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Gud

    Jibu

    Hongera sana kwake

    Jibu

    Hongera Sana lewandonski@meridianbettz

    Jibu

    Ni msimu mzuri kwake na ameonyesha kiwango bora pale ujeruman na ulaya pia

    Jibu

    duh!!safi sana

    Jibu

    Amestahili Kwa mafanikio alioleta

    Jibu

    Anajua sana ndo maana

    Jibu

    anastahili

    Jibu

    Kama ata tuzo nyingine kubwa zingekuwa zinatolewa Dunia basi Lwandowski angebeba karibia kila tuzo kwa performance yake ndani ya msimu wa 2019/2020

    Jibu

    Fundi huyo anastahili tuzo

    Jibu

    Good

    Jibu

    safi sana

    Jibu

    Habari njema

    Jibu

    mambo ni moto na meridianbet

    Jibu

    Lewandoksi amestahili kupewa hiyo tuzo amekua bora Sana msimu wa 2019-2020.

    Jibu

    Lewamdoski anajituma anastahili kuchukua tuzo.

    Jibu

    Hongera yake

    Jibu

    Amestahili kupata tunzo hiyo sio hiyo tu kama isingetolewa tunzo ya balloon d’or pia angeipata

    Jibu

    Hongera lewandowski kila lakheri endelea kuwakilisha

    Jibu

    Hongera sanaa

    Jibu

    Kama ata tuzo nyingine kubwa zingekuwa zinatolewa Dunia basi Lwandowski angebeba karibia kila tuzo kwa performance yake ndani ya msimu wa 2019/2020

    Jibu

    Tungepata mshangao kama tunzo zimetolewa alafu lewadowski hajapata sio kwa kazi haliyo ifanya hanastaili tunzo na kama kuna tunzo kubwa zitatolewa sijui kama hatakosa yupo vizuri sana

    Jibu

    Habari njema

    Jibu

    Habari njema

    Jibu

    Bora msimu huuu Kwan lewondowski amekuwah kwny kiwango Bora Sana co ujerumani tu hapa kwny UEFA champions league ni top scores msimu huu natumain Kama tuzo za PFA natumain lewondowski ungekuwah inamuhusu sana msimu huu congrats Robert lewondowski top scores

    Jibu

    Safi sana

    Jibu

Acha ujumbe