Timu ya wanawake ya Lyon imefanikiwa kushinda taji la Ligi ya Mabingwa Ulaya mara baada ya kuwabamiza wanawake wenzao wa Wolfsburg 3-1.
Ushindi huo wa Lyon katika mechi iliyopigwa siku ya Jumapili unamaanisha kuwa, klabu hiyo imeshinda taji hilo kwa mara ya tano mfululizo huku ikiweka rekodi ya kulibeba taji hilo mara saba katika kipindi cha muongo mmoja!
Magoli ya Eugene le Sommer na Saki Kumalagai yaliwawezesha Lyon kwenda mapumziko wakiwa kifua mbele dhidi ya wapinzani wao Wolfsburg.
Kipindi cha pili kilianza kwa kasi huku Wolfsburg wakipeleka mashambulizi yao mara kadhaa katika lango la Lyon, juhudi zao zilizaa matunda mapema na Alexandra Popp akafanikiwa kuwafungia goli kufanya matokeoa kuwa 2-1 kabla Sara Gunnarsdottir wa Lyon hajadidimiza zaidi mashua ya Wolfsburg kwa goli lake la dakika za lala salama na kuifanya mechi hiyo iishe kwa jumla ya magoli 3-1!
Mpaka sasa, timu hizo mbili zimekutana katika fainali ya Ligi ya Mabingwa mara nne tangu 2013 huku Lyon wakishinda mara tatu!
SHINDA NA HI LO
Sasa hii ni rahisi zaidi kupata USHINDI! Unatabiri karata ipi ipo chini au juu, kisha unakusanya mkwanja wako.
warda
Afadhali wamepunguza Uchungu kwa kweli Hongera yao#Meridianbettz
Theonestina
Wanawake tunaweza.hongera kwao
Devotha
Hongera zao,
Mwanahamisi
Wanawake sio watu wa mchezo mchezo kwa kweli
felister
wamejitaidi sana
Mwajumah
Hongera sana wanawake wa Lyon mmetisha#Meridianbettz
Fatina mfigi
Hongera zao
magdalena
ata wanawake nao wanaweza hawajataka kubaki nyuma kabisa pongezi nyingi kwao
Adelta
Kweli wanawake Ni jeshi kubwa wanastahili pongezi@meridianbettz
Lydia Emmanuel Magoti
Hongera yao wamejitaidi sana
Sauda
Wanawake na maendeleo
Zeiyana
Big up sana
Salma ngende
Pongezi kwao
Povel
Congrat lyon 🤝🤝🤝
Rose kapinga
Wanawake kazini,mengine baadae!!!
Antony Luseno
Wametisha akina dadaz
aisha
Safi sana kwa wanawake wa lyon
Omary lukumbi
Hongera lyon girls
Janeflora malisa
Nice
Shan
Pongezi kwao.
Agness
Hongera zao
Sadick
Timu za wanawake zinafanya vzr na kuanza kuvutia mashabiki,hatua ya kocha mholanzi kufundisha ligi ya Uingereza ni moja ya kuimarisha kwa ligi za wanawake#meridianbettz
Khadija
Zamani ilikuwa mambo mengi wanafanya wanaume rakin vizazi vya sasa hiv kila jambo wanawake wapo kweli wanawake tunaweza
Furahav
Pongezi kwao.
Issa
Pongez kwa lyon kwa kuweka rekodi msimu huu
Amiri Kayera
Ongera kwao
Hope mwaikuka
Pongez kwao
Ernest
Lyon imekuwa na maajabu sana msimu huu sio kwa wanaume tuu adi wanawake, Pongezi kwao
Hidaya
Hongera zao
Rehema
Pongezi kwao
jullie
safi sana
Rehema Dickson
Safi sana super woman
lombo
habar njema
Samira
Hongereni sana keep going girls
Shafii
Soka la akina Dada linakuja juu.
Sabrina
Hao ni malikia wa nguvu wa lyon hongera zao wako vizuri
Saupha mohamed
Hongera Yao
Ester jackson
Safii sana hilo Lyon wanawake mana naona chama lenu limetimia kwa kubeba makombe
Dorophina
Pongezi sana kwao Lyon wanawake wapo vizuri
Caroline
Hongera zenu
David Pere
Lyon imekuwa na maajabu sana msimu huu sio kwa wanaume tuu adi wanawake, Pongezi kwao
Nasra
Ongera kwao
Neema
Hongeraaaa yaoo