Timu za Manchester United pamoja na Ajax zimekubaliana juu ya ada ya uhamisho wa nyota Donny van de Beek kutoka Ajax kwenda United kuwa £40m.
Kocha wa United, Ole Gunnar Solksjaer amevutiwa na kiwango kilichooneshwa na nyota huyo wa kimataifa wa timu ya taifa ya Ureno kwa misimu miwili mfululizo akiwa na Ajax United.
Ikumbukwe kuwa, Van de Beek alikua sehemu ya kikosi cha Ajax kilichofanikiwa kutinga hatua ya nusu fainali ya mashindano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya mwaka 2019.
Usajili huo unatarajia kukamilika ndani ya siku chache zizajo, na inatarajiwa kuwa mara baada ya makubaliano binafsi baina ya Van de Beek na United, pamoja na vipimo vya afya kukamilika, nyota huyo atasaini kandarasi ya miaka mitano na wababe wa jiji la Manchester.
Kocha wa Manchester United, Ole Gunnar Solksjaer ana mpango wa kumaliza mapema dili hilo ili aweze kumtumia Van de Beek katika mechi yake ya kwanza ya msimu wa 2020/21 wa Ligi Kuu ya Uingereza dhidi ya Crystal Palace utakaochezwa September 19.
Van de Beek, ambaye hakujumuishwa katika kikosi cha Ajax kilichozikabili Eintracht Frankfurt na Union Berlin katika mechi za kirafiki za maandalizi ya msimu mpya wa ligi zilizochezwa mapema mwishoni mwa wiki, anatarajia kuwa mchezaji wa kwanza kusajiliwa na Manchester United mara baada ya dili la United na Sancho kuonekana kubuma.
SHINDA NA HI LO
Sasa hii ni rahisi zaidi kupata USHINDI! Unatabiri karata ipi ipo chini au juu, kisha unakusanya mkwanja wako.


Ernest
Man U wamelamba dume hapa Van de Beek yupo vizuri sana
Johnmary joel
Nimchezaji mzuri sana man wamepata jembe#meridianbett
Adelta
Hii Ni habari njema 👍
@meridianbettz
warda
Usajili wa Man U Kwa kweli haunilizishi#Meridianbettz
Theonestina
Habari njema
Sadick
Man U ina mapengo machache ya kuziba hasa eneo la ulinzi. Usajiri makini, bila shaka Ole Gunnar hatakuwa na kisingizio cha kushindwa#meridianbettz
Mwanahamisi
Ni mchezaji mzuri sana
Fatina
Ni bahar njema!
Mwajumah
Man u wamepata mchezaji mzuri sana van de beek anajua sana uyu jamaa#Meridianbettz
felister
aya man msilegelege changamkeni
Devotha
Van de beek yupo vizuri sana
magdalena
united apa kweli watakuwa wamepata bonge la mchezaji anajua sana jamaa ni fundi wa mpira
Tatu
Man united wamefanya jambo la maana kusajili van de beek msimu watakuwa moto wa kuotea mbali
Lydia Emmanuel Magoti
Man U wakimpata jembe hili watakuwa wamepata bonge lamchezaji jamaha fundi
Sauda
Van de Beek anajua
Salma ngende
Man u wako sahihi
Povel
United wamekuwah watu wa romance Sana ngoj tuone Kama deal litakuwah done kwl
Saupha mohamed
Jamaa fundi
Rose kapinga
Man u Kama mmeokota dodo vile!!!
aisha
Man u chukuen jembe hilo
Furahav
Yuko vizuri van beek.
Omary lukumbi
Man United tatizo muda mwingi wamepoteza kukazania mchezaj mmoja tuu
Janeflora malisa
Yupo vzr san
Shan
Utakua usajiri mzuri kwa man u.
Agness
Nimchezaji mzuri wamepata kifaa
rama
karibu man united
Khadija
usajiri wa man u sijauelewa kabisa
Issa
United hata huyo itambwela kumnyakua
Samiah
Yupo vzr sanaaa
Amiri Kayera
Man u hap imepata dodo
Hope mwaikuka
Imekua heri
Hidaya
Man u juu zaidi
Sabrina
Kama hili deal likitiki itakua poa sana
Rehema
Yuko vizuri
jullie
makala nzuri sana
lombo
ongera kwake
farida ahmadi
Habari njema Sana
Shafii
Deal litakua zuri Kama wakifanikiwa kupata kandarasi yake.
Samira
Deal zuri sana kwa man u kama watafanikisha hili
Ester jackson
Hongera sana Van de Beek kwenda timu kubwa ni mwanzo mzuri sana
Dorophina
Van de beek yupo vizuri big up man u wamepata mchezaji mzuri sana
Caroline
Habari nzuri
David Pere
Man U ina mapengo machache ya kuziba hasa eneo la ulinzi. Usajiri makini, bila shaka Ole Gunnar hatakuwa na kisingizio cha kushindwa
Faraja molell
Ni mchezaj mzur
Nasra
Asante kwa taarifa
Neema
Yuko vzr sana
MnonganeJR
Kiungo fundi karibu Mana utd