Inadaiwa kwamba Marco Silva ambaye alikuwa ni mkufunzi wa klabu ya soka ya Watford ni moja wapo ya wakufunzi wanaoonekana kwamba ni dhahiri watachukua kazi ya kuifudisha klabu ya soka ya Southampton!
Hatua hii inakuja kwa sababu siku ya Jumatatu klabu hiyo ilimfuta kazi kocha wake Mauricio Pellegrino klabuni hapo.
Povel
Habar njema