Pogba Mashakani Kuwakosa Crystal Palace

Kiungo wa Manchester United – Paul Pogba, kuna uwezekano akaukosa mchezo wa kwanza wa EPL dhidi ya Crystal Palace wiki ijayo.

Hii imetokea baada ya kiungo huyo kukaa nje ya uwanja kwa muda, kufuatia kuathirika na virusi vya Corona.

Pogba aliondolewa kwenye kikosi cha timu ya Taifa ya Ufaransa kwenye michezo ya UEFA Nations League kutokana na ugonjwa huo.

Akizungumzia hali ya kiungo huyo, kocha wa Man United – Ole Gunnar Solskjaer amesema. “Paul hajausika kwenye vipindi kadhaa kutokana na virusi. Anaendelea vizuri na pengine anaweza kuwepo wiki ijayo, lakini sina uhakika 100%.”

Msimu uliomaliza Paul alicheza michezo michache kufuatia kuandamwa na majeruhi, kurejea kwake katika mechi za kumalizia msimu, kulikua ni ahueni kwenye kikosi cha United kilichomaliza nafasi ya 3 kwenye Msimamo wa EPL.

Man United wataanza msimu Septemba 19, dhidi ya Crystal Palance katika uwanja wa Old Trafford.


SHINDA NA MERIDIANBET!

Tengeneza pesa kidijitali kwa kubashiri mbio za farasi hapa Meridianbet! Chagua nani ashinde, unakusanya mkwanja.

Cheza Sasa.

34 Komentara

    kiukweli hii corona kwa wenzetu bado inawatesa sana

    Jibu

    Pengo kwa united

    Jibu

    Cha msingi afya yake ikae poa kwanza.

    Jibu

    Habari mbaya kwa man u.

    Jibu

    Pollen man utd hilo pengo kubwa

    Jibu

    Wanaanza kwa kichapo

    Jibu

    Dhuu sijui itakuwaje kukosekana pogba mwenye kipaji chake cha kujua kucheza na mpira pengo kwa man u

    Jibu

    Mungu atamsaidia atapona tu

    Jibu

    Man U watakuwa na backup tuu sema ni pengo kwa Man U hasa ukiangalia combination yake na Fernandes

    Jibu

    Hili Ni pengo kubwa kwa man @meridianbettz

    Jibu

    Sidhani kama pengo lake litaathiri timu kwa sababu Man U ina viungo wengi#meridianbettz

    Jibu

    Mmh Ni habari mbay kwa man I!

    Jibu

    Pengo kwa Man U

    Jibu

    Duu Man U wapo kwenye wakati mgumu kwahio kilicho baki kumuombea

    Jibu

    Mungu atampa wepesi atapona

    Jibu

    Duu chamsingi kumuombea afya yake hikae sawa

    Jibu

    Ni pengo kubwa ..ila atakuwa sawa

    Jibu

    Itakuwaje sasa Man U bila Pogba#Meridianbettz

    Jibu

    Tunamtegemea San atuitaj kumkosa

    Jibu

    Ila sio mbaya man u bado iko vizuri.

    Jibu

    Pengo kwa Manchester United

    Jibu

    Kinachotakiwa ni afya imara kwanza

    Jibu

    Atapona tu mungu atamsaidia.

    Jibu

    saf

    Jibu

    Pogba atakaa tu Sawa asiwe na wasiwasi sana

    Jibu

    safi#meridianbettz

    Jibu

    Good

    Jibu

    Daah habari mbaya

    Jibu

    Mungu atampa wepesi tu atapona

    Jibu

    duh

    Jibu

    Pengo kwa man u

    Jibu

    Duh majAnga kwl

    Jibu

    Du

    Jibu

    Duuhp pengo kubwa kwa united.

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.