Mabadiliko ya Ratiba Wiki 1 -Serie A

Mabadiliko yamefanyika katika ratiba ya mechi za wiki ya kwanza ya Serie A, huku tarehe za mechi za Benevento-Inter, Udinese-Spezia na Lazio-Atalanta.

Mechi hizi hazitaanza wikiendi ijayo, baada ya kuchelewa kumalizika kwa michuano ya Ligi ya Mabingwa na kufuzu Serie A, badala yake zitachezwa Septemba 30.

Ratiba ya Serie A Week 1

Fiorentina-Torino (Sep 19, 07:00 Usiku)

Verona-Roma (Sep 19, 09:45 Usiku)

Parma-Napoli (Sep 20, 01:30 Usiku)

Genoa-Crotone (Sep 20, 4.00 Usiku)

Sassuolo-Cagliari (Sep 20, 07.00 Usiku)

Juventus-Sampdoria (Sep 20, 09:45 Usiku)

Milan-Bologna (Sep 21, 09:45 Usiku)

Benevento-Inter (Sep 30, 07:00 Usiku)

Udinese-Spezia (Sep 30, 07:00 Usiku)

Lazio-Atalanta (Sep 30, 09:45 Usiku)


 

SHINDA NA MERIDIANBET!

Tengeneza pesa kidijitali kwa kubashiri mbio za farasi hapa Meridianbet! Chagua nani ashinde, unakusanya mkwanja.

Cheza Sasa.

33 Komentara

    Ratiba makin

    Jibu

    Ratiba imekaa poa sn

    Jibu

    Mambo yamekua ivi msimu huu kwa sababu ya corona misimu iliyopita sasa ivi tushakimbiza mechi kem kem.

    Jibu

    Ratiba imekaa vizuri.

    Jibu

    Hawa watasha wanabadili ratiba na hakiaribikagi kitu kama mzee pumdamilia #Silvester

    Jibu

    Ni vizuri wanawapa wachezaji muda wa kupumzika

    Jibu

    Ratiba ya imekaa poa

    Jibu

    Patakuwa hapatoshi maana timu nyingi zimejiandaa vya kutosha

    Jibu

    Ratiba inaeleweka Ila kazi ipo timu nyingi zimejipa@meridianbettz

    Jibu

    Ratiba iko vizur sna na timu nyingi zimejindaa vya kutosha

    Jibu

    Ratiba imeeleweka

    Jibu

    Nasubiri kuona kama Juventus itaendeleza ubabe Serie A#meridianbettz

    Jibu

    Ratiba imekaa poa

    Jibu

    Ratiba imekaa vizuri

    Jibu

    Ratiba iko poa

    Jibu

    Ohooo Sio mbaya kwa mabadiliko haya#Meridianbettz

    Jibu

    Asante kwataharifa

    Jibu

    Ni ratiba nzur inayowap nafax

    Jibu

    Ratiba imetulia sana

    Jibu

    Ratiba imekaa poa sana 👍

    Jibu

    Ratiba iko vzuri

    Jibu

    saf

    Jibu

    Ratiba imekaa Poa sana

    Jibu

    Ratiba nimeikubali#meridianbettz

    Jibu

    Ratiba iko poaw

    Jibu

    🔥🔥

    Jibu

    Ratiba IPO vizuri

    Jibu

    Ratiba imekaa poa sana

    Jibu

    safi

    Jibu

    Ratiba nzuri ni mwendo wa mikeka

    Jibu

    Fixture ipo poa sana

    Jibu

    Ratiba imekaa fresh

    Jibu

    Imeeleweka

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.