Mchezaji wa klabu ya Real Madrid na timu ya taifa ya Brazil Vinicius Jr ameongoza kwenye orodha ya wachezaji waliofanyiwa faulo mara nyingi kwenye ligi kubwa tano ulaya ndani ya msimu huu.

Winga huyo hatari wa klabu ya Real Madrid amekua kwenye kiwango bora sana ndani ya timu hiyo toka kuanza kwa msimu uliomalizika, Huku akifanikiwa kua miongoni mwa wachezaji muhimu ndani ya timu hiyo.vinicius jrVinicius Jr mpaka sasa amefanikiwa kuhusika na magoli nane baada ya kufunga magoli matano na pasi za magoli tatu kitu kilichomfanya kua kati ya wachezaji tishio katika ligi tano za bora barani, Na ndio sababu kubwa ya mchezaji huyo kuchezewa faulo nyingi.

Vinicius Jr amechezewa faulo 48 mpaka sasa hivi kwenye ligi tano barani ulaya akiwa anaongoza orodha na hii inaonesha kwa namna gani mchezaji hyo amekua hatari na tishio.vinicius jrMchezaji amegawanya mashabiki na wadau wa mpira wengine wakiamini mchezaji huyo anachezewa faulo nyingi sana kwasababu ya aina ya mpira ambao amekua akicheza Vini, Lakini wengine wakiamini ni uwezo ambao amekua nayo raia huyo wa Brazil.

aviator

Ulishawahi kuwaza kuwa rubani wa maisha yako!! Kuwa rubani wa mchezo pendwa wa Aviator wa kasino mtandaoni. Aviator bonanza inazidi kutoa michongo ya mkwanja kwenye nyumba ya mabingwa. Unarusha ndege yako na unashinda, kuwa rubani wa kujivunia kwa kuibuka na mkwanja leo.

BONYEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa