Tabarez Ataiongoza Vyema Uruguay?

Kocha mkuu wa taifa la Uruguay, Oscar Tabarez anakiongoza kikosi chake leo ikiwa ni baada ya kampeni ya mwisho ya Uruguay kwenye Kombe la Dunia iliyoshuhudiwa Suarez akimng’ata Giorgio Chiellini!

Baada ya kitendo hiki alitolewa kwenye michuano lakini sasa wamefuzu kwa kushangaza na kutinga nchini Urusi wakiwa na kiwango ambacho si chenye mashaka yoyote kabisa.

Tabarez Ataiongoza Vyema Uruguay?

Yawezekana kwamba mchezaji Luis Suarez sio yule wa zamani lakini anakwenda Urusi akiwa na mshambuliaji mwenzake machachari Edinson Cavani wakiwa na hali nzuri sana kimchezo.

Naye Martin Caceres ana jeraha la paja ambalo litakuwa tatizo la muda mrefu kwake na kukosa kushiriki katika hekaheka. Unadhani kocha Tabarez atawavusha? Shiriki mchezoni sasa.

2 Komentara

    Kocha mzuri na ana kikosi makini

    Jibu

    Kocha mzur

    Jibu

Acha ujumbe