Wachezaji wa Ligi ya Uingereza ambayo mikataba yao inamalizika Juni 30 wataondoka vilabuni hata kama msimu utakuwa bado haujamalizika, Mwanasheria ametoa onyo.
Mwanasheria Nick De Marco hakuna – klabu, FA, UEFA na FIFA – inaweza kumlazimisha mchezaji kubaki kwasababu ya sheria za kazi za Uingereza, hivyo ikifika mkataba umemalizika basi msimu utamalizika hapo.
FIFA wameshauri mikataba iendelee hadi pale msimu utakapomalizika, lakini hiyo ni suala lingine ambalo linatakiwa litazamwe kama agenda.
Arsenal
Hakuna
Aston Villa

Borja Baston
Keinan Davis
Bournemouth

Ryan Fraser
Jordon Ibe
Charlie Daniels
Andrew Surman
Simon Francis
Artur Boruc
Brad Smith
Brighton

Beram Kayal
Ezequiel Schelotto
Burnley

Aaron Lennon
Jeff Hendrick
Joe Hart
Phil Bardsley
Adam Legzdins
Chelsea

Pedro
Willian
Olivier Giroud
Willy Caballero
Crystal Palace
Stephen Henderson
Everton

Oumar Niasse
Leighton Baines
Cuco Martina
Maarten Stekelenburg
Leicester

Nampalys Mendy
Christian Fuchs
Wes Morgan
Eldin Jakupovic
Liverpool

Adam Lallana
Nathaniel Clyne
Andy Lonergan
Manchester City

David Silva
Claudio Bravo
Manchester United
Hakuna.
Newcastle

Javier Manquillo
Matty Longstaff
Andy Carroll
Jack Colback
Rob Elliot
Jamie Sterry
Norwich
Hakuna
Sheffield United

Ricky Holmes
Leon Clarke
John Lundstram
Jack Rodwell
Phil Jagielka
Southampton

Shane Long
Tottenham

Jan Vertonghen
Michel Vorm
Watford

Adrian Mariappa
Ben Foster
Heurelho Gomes
Jose Holebas
West Ham

Carlos Sanchez
Pablo Zabaleta
Wolves

John Ruddy
Bright Enobakhare
Phil Ofosu-Ayeh


Johnmary joel
Iko poa wawaogezee mkataba mwingine#meridianbett