Gabriel Martinelli Asaini Mkataba Mpya

Mshambuliaji wa Arsenal Gabriel Martinelli amesaini mkataba mpaya na klabu hiyo ya Premier League.

The Gunners wamesema Mbrazili, 19, amekubali kusaini mkataba wa muda mrefu.

Martinelli amefunga magoli 10 katika mechi 26 kwenye michuano yote msimu huu baada ya kujiunga kutoka klabu ya Brazili Ituano majira ya kiangazi yaliyopita.

“Nina furaha na Gabi amesaini mkataba mpya nasi,” alisema kocha Mikel Arteta,

“Ni mchezaji mdogo mwenye kipaji na ametufurahisha kwa utendaji, ari na uchapakazi wake.”

Martinelli atakosa mechi zilizosalia kwa msimu wa 2019-20 baada ya kufanyiwa upasuaji baada ya kupata majeraha mazoezini mwezi uliopita.

“Tunatarajia atarejea akiwa fiti kabisa na kutazama maendeleo yake kwenye klabu,” aliongeza Arteta.

Martinelli ni kinda wa pili kusaini mkataba na Arsenal wiki hii baada ya Bukayo Saka.

47 Komentara

    Habari nzuri sana

    Jibu

    Martinelli mchezaji mzuri

    Jibu

    Wachezaji vijana wanataka kucheza mara kwa mara kuimarisha vipaji vyao. Martinelli ni mshambuliaji mwenye kipaji na kujituma#meridianbettz

    Jibu

    Hongera sana#meridianbett

    Jibu

    Habari njema sana

    Jibu

    Kila la kheri broo martinelli

    Jibu

    Mashabiki wachache walimjua Martinelli wakati aliposainiwa kwanza kujiuga na Arsenal wakati wa dirisha la uhamisho akijjiunga kutoka katika klabu ya Brazil ya Ituano mwezi Julai.
    Hata hivyo nyumbani kwao anaonekana kuwa na kipaji cha kumrithi Neymar na tayari ameonyesha kile anachoweza kufanya katika mechi mbili pekee za Arsenal.
    Ameichezea klabu hiyo mechi mbili katika ushindi wa magoli 5-0 dhidi ya Nottingham Forest katika kombe la Carabao na siku ya Alhamisi usiku alifunga magoli mawili katika ushindi wa magoli 4-0 dhidi ya klabu ya Ubelgiji Standard Liege.
    Katika mechi zote alizocheza kufikia sasa , Martinelli amevutia wengi kutokana na kasi yake na udhibiti wa mpira.
    Kama mchezaji mwenza Phillipe Coutinho, uhodari wake ulinolewa kwa kucheza Futsal akiwa mdogo.
    Alikuwa miongoni mwa wachezaji wa kikosi cha Corinthians akiwa na umri wa miaka 9 hadi 14 wakati alipojiunga na timu ya daraja la nne nchini Brazil Ituano 2015.
    Martinelli kama vijana wengi , alikuwa akimuenzi nyota wa Portugal Cristinao Ronaldo na anadai kwamba anacheza kama yeye.
    # Arsenal’s jeshiii

    Jibu

    Habari nzuri kwa mashabiki#meridianbettz

    Jibu

    Habar njema kwa mashabik wa gunners

    Jibu

    Habari njema kwa mashabiki wanasoka

    Jibu

    Habari njema sana kwaashabiki wa arsenal kupata kijana anayejituma zaidi

    Jibu

    Ni mchezaji mdogo mwenye kipaji na ametufurahisha kwa utendaji, ari na uchapakazi wake.”

    Jibu

    Wamepata kijana bado mdogo na mahiri akiwa uwanjani anatamani kuonesha uwezo wake atawasaidia sana

    Jibu

    Pongezi nyingi Sana kwa timu wamepata kijana anaejituma na mahili

    Jibu

    Hongera zake

    Jibu

    Hii ni kutokana na kufanya vizuri

    Jibu

    Habari zuri kwa mashabiki

    Jibu

    Gabriel Martinell ni haki yake kuendeleza kipaji ,ni kijana anaejituma na anatambua anachofanya

    Jibu

    pongezi ziende kwake

    Jibu

    Ni Deal zuri kwa Gabriel Martinelli kwani ameonyesha kuwa mchezaji wa kuisaidia Arsenal hapo mbeleni kwa kiwango chake

    Jibu

    Hii safi sana kwa mchezaji

    Jibu

    Habari njema kwa timu nzima ya arsenal kwa kubakisha mchezaji muhimu Sana

    Jibu

    Mie Yangu Macho Hizi sajili sajili#Meridianbettz

    Jibu

    Habari njema kwa mashabiki

    Jibu

    Habari nje kwa mashabiki wa arsenal na wapenda soka

    Jibu

    Maoni:Hongera yake

    Jibu

    He deserve this coz is best prayer

    Jibu

    Martinell ni bora ubaki hapo london kwakuwa panakupa uzoefu sana

    Jibu

    Kila la kheri

    Jibu

    Pongezi ziende kwake

    Jibu

    Hongera sana.

    Jibu

    Hongera yake

    Jibu

    Hii ni habari njema kwa mashabiki wa Arsenal

    Jibu

    Ni mchezaji mzur na uzur bado anaumli mdg

    Jibu

    Habari nzuri

    Jibu

    Ni habari nzur

    Jibu

    Safi Sana

    Jibu

    Habari njema kwa mashabiki

    Jibu

    Hongera Arsenal na club kwa ujumla kumbakisha mbrazili

    Jibu

    Sasa hapo timu ambazo zilizokuwa zinamtaka hazimpati tena

    Jibu

    Hongera yake

    Jibu

    Habari nzuri sana

    Jibu

    Hongera yake

    Jibu

    Jambo zuri Sana kwa Gabriel martinelli ni jambo la kujivunia kuona club bado wanahitaji huduma yake.

    Jibu

    Maoni:chema chajiuza jamaa fundi anajua wacha abaki

    Jibu

    gud news

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.