Willian yupo kwenye Mazungumzo na Chelsea

Chelsea wamefungua mazungumzo tena ili kumbakiza Willian baada ya kukataa ofa kutoka kwa klabu moja ya China ambayo haijajulikana, lakini Willian atabaki ikiwa Chelsea itatoa ofa zaidi ya mkataba wa miaka miwili.

Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 31 tayari ameelezea hamu yake ya mkataba wa miaka mitatu huko Chelsea na ikiwa ataondoka Stamford Bridge atachagua kubaki England, ikiwezekana ni katika klabu kubwa ya London.

Chelsea ya Frank Lampard inajua kuwa Kuna ofa kutoka kwa Arsenal na Tottenham na kocha huyo wa The Blues ana nia ya kumbakiza au kumshawishi asijiunge na wapinzani wake.

Frank Lampard amethibitisha kuwa bado kuna uwezekano wa Willian kuwa mchezaji wa Chelsea kwa msimu wa 2020/21.

52 Komentara

    Asante kwataharifa

    Jibu

    Willian bado wamo na amedhihirisha hilo katika mechi za karibuni#meridianbettz

    Jibu

    Chelsea wakimpata huyu itakua poa sana

    Jibu

    Itakuwa vizuri wakikubariana#meridianbett

    Jibu

    Asante meridianbet #kwa taarifa

    Jibu

    Willian bado wamo na amedhihirisha hilo katika mechi za karibuni so menaona abakie tu darajani#meridianbettz

    Jibu

    Wasifanye uzembe kumkosa huyo mchezaji yuko vizuri

    Jibu

    Chelsea mchukueni jama ili mfanye nae kazi mbona william yupo vizuri

    Jibu

    Yaan chelsea wakimpata huyu itakuwa poa sana#meridianbettz

    Jibu

    Gud information

    Jibu

    Chelsea wa mchukuwe tu huyu jamaa yuko vizuri

    Jibu

    Chelsea wakimpata huyo itakuwa safi

    Jibu

    Wamuongeze mkataba tu huyu kijana mbona ana fanya vizuri tu

    Jibu

    Wakimpata itakuwa vizuri zaid

    Jibu

    Itakua vizuri wakimchukua

    Jibu

    Ni habari njema kwa mashabiki wa Chelsea

    Jibu

    habari njema kwa wapenzi wa chelsea

    Jibu

    Hao ndo Zé blues

    Jibu

    Utakuwa vizuri wakimchukua

    Jibu

    William bado yupo apo apo Chelsea aendi kokote

    Jibu

    Wamchukuwe tu ni mchezaji ambae ana kipaji na kocha wa Chalsea yupo makini na kazi yake anajua vipaji vilipo

    Jibu

    Safii sana Chelsea ni bora tu alivyo baki mashabiki bado tunampenda

    Jibu

    Tatizo la Chelsea wamekuwa wakisahau mchango wa Willian kwenye kikosi chao na mara nyingi wamekuwa wakimpa mawazo kwa kukosa namba ya kudumu

    Jibu

    mazungumzo ayo jaman lakini Chelsea watambue msaada wa William katika club iyo. Ni mcheza anae fanya timu ipande na kuichezesha timu vizur katka ushambuliaji

    Jibu

    Aendelee kubaki maana yupo vzurii

    Jibu

    Habari njema kwa mashabiki wa chesea
    William bado ni mchezaji muhimu Sana hapo the blue#medianbettz

    Jibu

    Sijawahigi muelewa Willian#Meridianbettz

    Jibu

    Yupo vzr aendelee kubakitu

    Jibu

    Williams asepe tu maana Chelsea wenyewe hawana mchango na yeye

    Jibu

    Ni taarifa nzur kwang shabik yake

    Jibu

    Imekaa poa sana 👍

    Jibu

    Willian inabidi atafute timu ingine apate changamoto zingine pia

    Jibu

    Good news kwa mashabiki wa arsenal

    Jibu

    Habari nzur kwa mashabiki wa Chelsea

    Jibu

    Baki tu hapo.

    Jibu

    Mumchukue tu jamaa mkalii

    Jibu

    Ni sawa wakimchukuwa

    Jibu

    Jambo zur kumbakiza maan bado anaitajik

    Jibu

    Willian anastahili kubaki chelsea waongee wampatie mkataba mpya

    Jibu

    Willian ni mchezaji mzuri Sana hanayejituma abaki tyuu Chelsea kwa kuongeza kasi kwny timu

    Jibu

    Taarifa njema

    Jibu

    Safi sans Kama ataendelea kuwepo

    Jibu

    Willian bado yuko vizuri sana

    Jibu

    Itakua jambo zur sana the blues wakimbakisha williun Chelsea akatuliza presha za mashabiki wake

    Jibu

    Asanten kwa taarifa

    Jibu

    Wamalizane tu acheza mpira pale msimu ujaooo

    Jibu

    Chelsea wachukue tu uyo jamaa maana Yuko vizur Sana

    Jibu

    Chelsea wakibaki nae itakuwa vizuri

    Jibu

    Itakua jambo zuri wafikie makubaliano wampe mkataba hata miaka mitatu atawasaidia William uwezo bado upo

    Jibu

    Maoni:William bado anadai yupo fiti

    Jibu

    lampard aachane na hawa wazee bhn

    Jibu

    gud news mambo ni moto na meridianbet

    Jibu

Acha ujumbe