Mchezo wa soka umeshika hatamu mwishoni mwa karne ya 19 katika miaka ya 1850 mpaka 1900. Ndio kipindi ambacho mchezo huu pendwa zaidi duniani ulianzishwa na vilabu vingi vikongwe duniani kama Stoke City, Sheffield Wednesday, Manchester United na vinginevyo vilianzishwa.
Kama ilivyo michezo mingine ambayo inaongozwa kwa sheria , taratibu na kanuni stahiki pia soka chini ya shirikisho la soka duniani FIFA una kanuni , sheria na taratibu zake zinazosimamia mchezo huu.
Nyingi ya kanuni na sheria za soka zilianzishwa au kutungwa kuanzia mwaka 1880 mpaka 1906 lakini sheria ya matumizi ya kadi nyekundu , njano na kijani zilianza kutumika mwaka 1970 katika michuano ya kombe la dunia nchini Sweden.

Chanzo cha sheria hii; Mwaka 1966 katika michuano ya kombe la dunia hatua ya robo ya fainali pale walipokutana Argentina na England, mwamuzi toka Ujerumani Rudolf Keitlin alipata wakati mgumu sana kumtoa nje Antonio Rattin mshambuliaji wa Argentina baada ya kucheza rafu mbaya.
Shida kati yao ilikuwa ni lugha hawakusikilizana wala kuelewana na kufanya mchezo huo kusimama. Mwamuzi toka England aliyekuwa jukwaani alisikitishwa sana na kitendo kile na kupata wazo la kuanzisha alama ambazo zitaoneshwa na mwamuzi bila kuongea na mchezaj husika na yeye kuelewa na kutimiza kile alichoamuriwa afanye. Huyu ndio Ken Aston mwanzilishi wa wazo hili.
Ken Aston alichukua ” idea” ya kutumia rangi za taa za kuongezea magari barabani na kuzileta katika soka katika mtindo wa kadi . Taa ya njano huonesha tahadhari na mwamuzi akitoa kadi ya njano ni ishara ya onyo .
Taa ya nyekundu ikiashiria kusimama na hatari basi ndio kadi nyekundu inayomtaka mchezaji kusimama kuendelea na mchezo na kutoka nje .
Baada ya fainali za mwaka 1966 , mwaka 1968 kwenye michuano ya Olympic nchini Mexico kadi hizi zilianza kutumika kwa majaribio kwa ruksa ya FIFA .
Kabla ya mwaka 1982 , kadi hizi zilikuwa zikitumika katika michuano maalumu tu lakini baada ya mwaka 1982 ziliharalishwa rasmi kutumika katika kila mchezo wa soka baada ya kujumuishwa katika sheria 17 za soka .
Lakini mwaka 2018 katika michuano ya kombe la Dunia iliyofanyika nchini Urusi kulikuwa hakuna mpango wa kutumia kadi ya kijani au katika soka la kulipwa nchini Uingereza.


JULIANA
Asante kwataharifa
Revina
Walifanya vizuri kuweka alama kama hizo,maana kila kitu kinatskiwa kiende kwa sheria bila sheria wala utaratibu ,huwezi kufanya chochote kikawa salama
Sadick
Ubunifu ulioleta mapinduzi katika soka. Changamoto huleta ubunifu#meridianbettz
Isaya massawe
Najivunia kua na merdianbet maana ninayajua mengi ambayo sikutarajia kuyajua
Johnmary joel
Kwakweli mmenifudisha mengi unapopata tatizo ndo unajua kufanya nini#meridianbett
Amani
Changamoto huleta ubunifu#meridianbettz
Neema juma
Walifanya vizuri. Mengi tunaanza kuyajua
isha
Safi sana kwa ubunifu ambao umeleta mapinduzi
Lydia Emmanuel Magoti
Changamoto uleta ubunifu
Khadija
changamoto ndio kitu cha muhimu sana bila changamoto mambo hayaend#meridianbettz
Genia Sikaluzwe
Mmh changa Moto huleta ufumbuzi
Povel
Duh ubunifu wa Hal ya juu
Rehema Dickson
mmenifudisha mengi unapopata tatizo ndo unajua kufanya nini#meridianbett
Franky
Safi sana meridian kwakutu fafanulia mambo
felister
ubunifu ulioleta changamoto
Magdalena
Changamoto huwa inaleta akili mpya
Caroline
Kwa kweli walifanya kitu chá maana
Dorophina
Habari njema sana
Mwanahamisi
Changamoto uleta ubunifu
Zeiyana
Kadi nyekundu kwa mchezaji hinaleta taswira mbaya
Ester jackson
Alitumia akili kubwa sana kufikiria hivyo
Ernest
Wazee wa chandimu hatujui hii kadi yekundu sisi kwetu sawa tuu ata guu la shingo
Hamidu
Asante kwa update za michezo makala hii umekuwa nzuri Sana #meridianbettz
Samiah
Nihabari zakusisimua sana
nasra
Asantee kwa taarifa
warda
Ken Aston alifanya jambo jema sana mana tungepigana sana kama Yanga#Meridianbettz
Njiku
Nimeipenda hii kitu maana akili imetumika
Hope mwaikuka
Bora mmenijuza maana nlkua sielew
Gabriel
Duuuh! Makala mzur sana 👍 hii
Issa
Ugunduzi umesaidia sana kupunguza madhambi katika soka
Angelina
Alifanya vizuri kugundua kitu kama hicho
fatumakasom
Ubunifu ulioleta changamoto
Furahav
Hii habari nimeikubali sana.
Saupha mohamed
Habari hiii ni mzurii sana
Rehema
Asante kwa taarifa
Amiri Kayera
Nawaza kipind amn kadi fair play ilikuepo
Devotha
Hongera kwa aliyepata wazo la kadi uwanjani
Sabrina
Maoni:Asante kwa kunijuza makala nzuri sana
Latifa juma mohamed
Hatar ni njema sana
farida ahmadi
Habari nzuri Sana kwetu mashabiki wenu endeleeni kutupa habari motomoto km hz
mwakalosi
dah waingeleza karibia sheria zote wanetunga wao
Salma
Ubunifu wa hari ya juu
Theckla
Meridianbett mko vizuri hatar taarifa njema
Omary lukumbi
Kadi pia zinasaidia sana kumtolea mtu tafsir kwa kile alicho tenda kua si kizur
Evaluziga
Mko vizuri meridian kwa taarifa nzuri
David Pere
Yani bila ya kiwepo kwa adhabu ya hizo kadi wachezaji wangeuwana uwanjani
Theonestina
Asante kwa makala nzuri
Tatu
Huu ni ubunifu mnzuri Sana umeleta nidhamu kwenye mpira
Mariam mtandama
Asante meridianbet #kwa taarifa
Shafii
Lili kua ni wazo zuri Sana katika michezo sasa tunaona faida yake nidhamu ya kimichezo IPO kwa wachezaji.