Milan Baros Kustaafu Soka

Mchezaji wa zamani wa Liverpool na Czech Republic straika Milan Baros atastaafu baada ya msimu wa Ligi ya Czech kimalizika.

Baros alitwaa Champions League akiwa na the Reds mwaka 2005, mwaka baada ya kushinda kiatu cha dhahabu Euro 2004, wakati timu yake ilipofika nusu fainali.

Baros, 38, kwasasa anakipiga katika timu ya Banik Ostrava katika nchi yake ya nyumbani, amekuwa akipambana na majeruhi miaka ya karibuni.

“Akili inatamani, lakini umesema hauwezi,” alisema Baros.

“Matatizo ya kiafya yamekuwa yakiniandama kwa muda mrefu na mwili haufanyi kazi kama ilivyokuwa hapo awali kwenye maisha yangu ya soka.”

Aliongeza: “Sababu ipo wazi. Umri hauwezi kusimamishwa. Cha pili ni upande wa afya ambayo imekuwa mbaya msimu uliopita, baada ya kazi nzito. Nimenza kusikia maumivu ambayo siwezi kuendelea na maisha ya soka.”

Baros pia alikuwa kwenye kikosi cha Aston Villa na Portsmouth kwenye Premier League, na kushinda Kombe FA mwaka 2008.

Pia aliwahi kucheza Galatasaray, Lyon na Antalyaspor kabla ya kwenda kwao Czech Republic mwaka 2014.

Alistaafu soka la kimataifa mwaka 2012

52 Komentara

    Baros kashakuwa mtu mzima Apumzike tu

    Jibu

    Ame kua na mapancha sana ni vizuri aka punzika humri ume ends…

    Jibu

    alicheza kwa mafanikio akiwa Liverpool. Sio rahisi kwa mshambuliaji au Beki kuwa katika kiwango katika umri wa miaka 38 na kuendelea#meridianbettz

    Jibu

    Maamuzi yake kama ameamua apumzike#meridianbett

    Jibu

    Akuna mwanzo usio na mwisho,kustaafu kwake ni mwanzo mzuri wa chipkizi mpya kufuata nyayo zake

    Jibu

    Sio rahisi kwa mshambuliaji au Beki kuwa katika kiwango katika umri wa miaka 38 na kuendelea#meridianbettz

    Jibu

    Sio mbaya akapumzike tu

    Jibu

    milan baros umri wake umeshaenda apumzike tuu

    Jibu

    Nisahii kustafu apumzike tuu kasha tumikia kazi yake

    Jibu

    Ni wakati sahihi kwake

    Jibu

    Ni sawa muda umekwisha

    Jibu

    Kashakuwa mtu mkubwa apumzike#meridianbettz

    Jibu

    Baros pumzika fund wangu

    Jibu

    uamuzi mzuri ni vizuri ukistaafu

    Jibu

    Umri umempa mkono sasa apumzike

    Jibu

    Pole sana.pumzika tu

    Jibu

    Umri umeshaenda

    Jibu

    Umri umeenda ni jambo jema kwake kupumzika

    Jibu

    Baros balaa lake sio dogo ukifuatilia historia yake.

    Jibu

    Baro’s fundi wa mpira ! Gwiji la Liverpool anastaff akiwa bado uwezo upo bigup baros#meridianbettz

    Jibu

    Kwa historia yake na umri alokuwa nao mwacheni apumzike ,alifanya kazi kubwa ,wacha na chipukizi awape nafasi

    Jibu

    Mapumziko ni muhimu kwa mchezaji j

    Jibu

    pongezi kwake kwa kipindi kilefu na miaka mingi tangia kuanza kutumikia soccer. Na umri umenda sana so Hana budi kustafu…

    Jibu

    Milan baros n mchezaji mzuri sana ambaye anastafu akiwa na mafanikio makubwa sana katika ulimwengu wamichezo kutokana na mafanikio yake alipoanza mpira mpk muda huu n habari njema sana kwake

    Jibu

    Umeshakwenda umri bora akapumnzika

    Jibu

    Jaman Baros Pole yake#Meridianbettz

    Jibu

    Maoni:Asante kwa taarifa

    Jibu

    Baros alifanya maajabu sanaa

    Jibu

    Kwa upande wangu namtambua Milan Baros Ni kati ya wachezaji waliozurura sana katika soka. Ndani ya miaka 19 amechezea timu tisa. Katika mechi dhidi ya AC Milan alitolewa dakika ya 85 na nafasi yake kuchukuliwa na Djibril Cisse. Hii ilikuwa mechi yake ya mwisho kwa Liverpool. Baada ya hapo aliuzwa kwenda Aston Villa. mwishowe akaenda Lyon, kisha, Galatasaray halafu akarudi kwao Czech kucheza katika timu mbalimbali. Mpaka sasa akiwa na umri wa miaka 36 anakipiga katika klabu ya Slovan Liberec ya kwao.

    Jibu

    Umri umeenda kapumzike tu

    Jibu

    Baros kazungusha kabumbu vilabu vingi na kaacha historia toka liverpool hivyo kustaafu ni muda wake

    Jibu

    Safi bora apumzike

    Jibu

    Apumzike tu umri unaruhusu

    Jibu

    Inatosha kapumzike baros.

    Jibu

    Muda wake umeshakwishaa

    Jibu

    Umri umeenda pumzika

    Jibu

    Ni Jambo zur kupunzk but umli ushaenda

    Jibu

    Kazi na umri! Ameamua vema aende akapumzike salama

    Jibu

    Sawa kazi na umri

    Jibu

    Apumzike kwa sasa umri umeenda

    Jibu

    Umri umeenda Sana apumzike tyuu Milan barros

    Jibu

    Umri umekwenda apumzike

    Jibu

    Umri nao tayar ushamtupa mkono n muda wake kwenda kupumzika

    Jibu

    Huyu mchezaji kweli hatari Yani bado Alikuwa anacheza mpira duhhh

    Jibu

    Mapumziko mema kwake

    Jibu

    Ni vizuri apumnzike ashakuwa mtu mzima

    Jibu

    Asante meridianbet #kwa taarifa

    Jibu

    Ni jambo la kheri wahenga wanasema hakuna marefu yasiyokua na ncha.

    Jibu

    huyu mtu bado yupo

    Jibu

    Maoni:jamaa kama miguu haijaanza kumsaliti aendelee kama madaraka seleman mana alipambana sana na bado mpira bado upo

    Jibu

    vzur

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.