Gareth Bale Afikisha Millenium

Gareth Bale amekuwa mchezaji wapili kwenye timu ya taifa ya Wales kuweza kufikisha michezo 100 ya kimataifa baada ya Chris Gunter.

Gareth Bale hakuonekana kwa takribani kipindi cha miezi miwili kutokana na meajeruhi,  lakini alionekana kujihamini usiku wa jana na kuiaidia timu yake ya taifa kuweza kuibuka na ushindi wa kishindo  dhid ya Belarus.

Bale alifanyiwa mapokezi ya aina yake kwenye dimba la Cardiff City Stadium huku akipewa heshima kama jenerali wa vita aliye rudi nyumbani na ushindi, wakati dakika 45 tu zilitosha kumuwezesha Bale kuingia kwenye kumbukumbu za Wales.

Gareth Bale amebakisha michezo saba  tu kuweza kuipiku kumbukumbu iliyowekwa na Chris Gunter ya kuwa mchezaji aliyeichezea timu ya taifa ya Wales michezo mingi zaidi ya kimataifa.

Ushindi wa jana wa Wales unawapeleka mpaka nafasi ya pili nyuma ya Belgium kwenye kufuzu kombe la Dunia nchini Qatar wakiwa na utofauti wa pointi tano.


NJIA RAHISI YA MKWANJA NA TITAN DICE

Unawezaje kuikosa hii! njia rahisi ya kutengeneza mkwanja katika kasino maridhawa za meridianbet. Muda wa kufurahia na kutengeneza mkwanja ipo mikononi mwako unasubiri nini?

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA SASA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.