Matokeo ya ya michezo ya kufuzu kombe la dunia hapo jana tulishuhudia bingwa wa dunia akitoa kipigo cha kikali cha goli 8-0 huku kinda nyota Kylian Mbappe akiweka nyavuni goli 4 peke yake na kujihakikishai nafasi ya kwenda Qatar, mpaka sasa timu tatu zimejihakikia nafasi nazo ni Ufaransa, Brazili na Ubelgiji.
Bosnia and Herzegovina vs Finland 1-3
France vs Kazakhstan 8-0
Belgium vs Estonia 3-1
Wales vs Belarus 5-1
Norway vs Latvia 0-0
Turkey vs Gibraltar 6-0
Montenegro vs Netherlands 2-2
Uruguay vs Argentina 0-1
Honduras vs Panama 2-3
El Salvador vs Jamaica 1-1
USA vs Mexico 2-0
Canada vs Costa Rica 1-0
Zambia vs Mauritania 4-0
Equatorial Guinea vs Tunisia 1-0
Cape Verde vs Central African Republic 2-1
Liberia vs Nigeria 0-2
Malawi vs Cameroon 0-4
Ivory Coast vs Mozambique 3-0
Michezo kumi na sita ya kutafuta nafasi ya kufuzu kombe la dunia nchini Qatar Kuendelea tena leo, unaweza kubashiri kwa kubonyeza HAPA
Unawezaje kuikosa hii! njia rahisi ya kutengeneza mkwanja katika kasino maridhawa za meridianbet. Muda wa kufurahia na kutengeneza mkwanja ipo mikononi mwako unasubiri nini?


