Gomes : Simba SC Wanaweza Kuchukua Ubingwa Afrika.

 

Aliyekuwa meneja wa Simba SC, Didier Gomes amesema amewajibika kuondoka ndani ya klabu hiyo lakini anaamini timu hiyo bado inaweza kufanya makubwa miaka ijayo.

 

Gomes anaamini Simba wanaweza kuchukua Ubingwa wa Afrika miaka ijayo ingawa wanatakiwa kuwaweka pamoja wachezaji wao bora.

“Kama Simba wanataka ubingwa wasiuze nyota wao, wakikaa kwa pamoja muda mrefu na kuungana bila shaka watachukua ubingwa na kuwa timu tishio hapa Afrika zaidi ya sasa,”

“Wachezaji waliosajiliwa kwasasa wengi wao bado wanaendelea kukua hivyo wakija wakaungana na wale waliokuwepo bila shaka watakuwa tishio na hilo lipo wazi.” aliongeza kocha huyo.


MCHONGO WA PESA NA CIRCUS FEVER

Mchongo wa mkwanja mrefu kutoka kasino bora za mtandaoni za Meridianbet. Mchezo wa Circus Fever unakuweka katika nafasi nzuri ya kuwa mshindi. Furahia kasino maridhawa kutoka nyumba ya mabingwa meridianbettz.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.