NBA: Vigogo Wamechana Mikeka.

Kwa wadau wa kutengeneza faida kupitia mikeka, sio soka tu, hata NBA imewalaza watu njaa. Vigogo wameambulia vichapo kila mmoja kwa nafasi yake.

Licha ya kuongoza kwa pointi 26, LA Lakers wamejikuta wakiambulia kipigo kutoka kwa Oklahoma City Thunder. Vipindi vinne vimemalizika kwa Thunder kuibuka kidedea kwa jumla ya pointi 123-115.

Huu ni mchezo wa pili mfululizo kwa Lakers kumkosa LeBron James ambaye ni majeruhi lakini pia, Westbrook alijikuta akitolewa uwanjani baada ya kufanya makosa ya kiufundi.

Licha ya Giannis Antetokounmpo kupachika pointi 40, mabingwa watetezi wa NBA, Milwaukee Bucks wameambulia kipigo cha pointi 113-108 kutoka kwa Minnesota Timberwolves.

Brooklyn Nets wamepokea kichapo cha 3 msimu huu baada ya Miami Heats kuibuka kidedea kwa pointi 106-93.  Phoenix Suns wamepoteza mchezo wa 2 mfululizo kwa kupigwa 110-107 na Sacramento Kings.


MCHONGO WA PESA NA CIRCUS FEVER

Mchongo wa mkwanja mrefu kutoka kasino bora za mtandaoni za Meridianbet. Mchezo wa Circus Fever unakuweka katika nafasi nzuri ya kuwa mshindi. Furahia kasino maridhawa kutoka nyumba ya mabingwa meridianbettz.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.