Haaland Aendeleza Rekodi za Kibabe UCL.


 

Mshambuliaji wa Borrusia Dortmund, Earling Haaland ameendeleza rekodi bora katika ligi ya mabingwa barani ulaya walipo tinga robo fainali baada ya kuwaondoa Sevilla.

Haaland amefikisha magoli 20 katika michezo 14 aliyoicheza katika mashindano ya ulaya, katika mchezo dhidi ya Sevilla ulioisha 2-2.

 

Erling alifunga magoli mawili na kuisaidia timu yake kufuzu kwa magoli 5-4. Akiwa amefunga jumla ya magoli 10 katika ligi ya mabingwa akiwa na Dortmund.

Haaland amekuwa mchezaji wa kwanza kufikisha magoli 20 kwa haraka zaidi katika ligi ya mabingwa, akifanya hivyo katika mechi 14. Pia akiwa mchezaji mdogo kufunga mechi 6 mfululizo za ligi ya mabingwa.

Pia akichukua nafasi ya Ole Gunnar Solskjaer kuwa mfungaji bora wa muda wote wa Norway katika mashindano hayo. wakati huo akiwa mchezaji wa kwanza kufunga magoli mawili au zaidi katika mechi 4 mfululizo.


Ni Burudani Iliyokithiri na Mkwanja Nje Nje Katika Mchezo Halisi wa Chicago Gold.

Fanikisha malengo yako bila kuumiza kichwa, tengeneza mkwanja bila wasiwasi na kasino ya Meridianbet. Jiunge sasa Ufurahie Chicago Gold kasino.

CHEZA HAPA

6 Komentara

    Haaland Anajua sana namuona kama CR7 Wadae

    Jibu

    Dortumund wapo vinzur

    Jibu

    Vizuri

    Jibu

    Kijana yuko vzur

    Jibu

    Vizuri

    Jibu

    Yupo vzur

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.