Kiungo wa Ferencvaros, Marcel Heister amedai kuwa aliomba kubadilishana jezi na Cristiano Ronaldo lakini nyota huyo wa Juventus alitupilia mbali jambo hilo mara baada ya mchezo wao wa Ligi ya mabingwa ulaya.

Ronaldo alicheza dakika zote 90 katika kikosi cha Andrea Pirlo kilichoibuka na ushindi wa bao 4-1 huko Hungary mno Novemba 4.

 

Heister :Ronaldo Alinikatalia Kubadilishana Jezi.

Lakini Ronaldo hakufanikiwa kupata bao kitu ambacho kinamfanya Heister aamini kuwa ndiyo sababu ya Ronaldo kukasirika na kumnyima jezi.

Akiongea na SPOX Alidai kuwa “Alionekana(Ronaldo) mwenye gadhabu na hasira kiasi, labda kwa sababu hakutufunga goli, ama kwa sababu nilimkaba na kumpokonya mpira alipotaka kunipiga chenga.”


USICHELEWE KUKAMATA MKWANJA HUU!

Hadi 130,000,000 TSH Kutolewa kwa washiriki wa shindano la Playson Cashfall. Unaipata kwenye Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet Pekee. Jisajili sasa, kisha ingia mchezoni kabla ya Novemba 29.

Meridianbet Tanzania Casino

SOMA ZAIDI

27 MAONI

  1. Nafikiri amefanya jambo Jena kwake mana kama angempa ingemlazima kufukiwa timu kucheza au adhabu kutokana na sheria zilizowekwa na uongezi kwa kipindi hiki cha corona ina walazima wachezaji kutobadilishana jezi

  2. Ni heshima kuwa na Jezi ya Ronaldo au Messi kabati kwako. Amekuwa akitoa Jezi kwa wengi nadhani Heister hakuwa na bahati siku hiyo

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa