Inaki William Aweka Rekodi Athletic Bilbao.

Mshambuliaji wa Klabu ya Athletic Bilbao, Inaki Williams ameweka Rekodi ya kucheza Michezo 202 mfululizo ndani ya Uzi wa klabu yake.

 

Inaki Williams

Inaki, 27 ameweka rekodi hiyo katika mchezo wa jana dhidi ya Valencia katika dimba la San Mames ambapo klabu hiyo ilitoka sare ya goli 1-1 dhidi ya wenyeji wao.

I.Williams ameitumikia Athletic Bilbao jumla ya michezo 303 na kufanikiwa kufunga magoli 69 na kutoa pasi 41 la magoli.

Historia hiyo ilianza katika mchezo dhidi ya Malaga April 2016 tangu siku hiyo mchezaji huyo hajawahi kukosa mchezo wowote kwa majeraha wala adhabu.

Mshambuliaji huyo kwa sasa ana mkataba na Athletic Bilbao mpaka mwaka 2028, baada ya kusaini mkataba wa miaka 9 na klabu hiyo miaka miwili iliyopita.


FUNGA BAHATI YAKO NA MERIDIANBET.

Ni wakati wa ushindi mkubwa ukiwa na kasino bomba ya Lock a Luck, meridianbet wanakupa sababu ya ushindi, funga bahati yako ya ushindi ukiwa na mabingwa.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.