Anthony Joshua anataka pambano lake na Oleksandr Usyk rirudiwe tena baada ya kupoteza dhidi ya mpinzani wake huyo, wakati mwanamasumbwi huyo aliyeengia kwa kujiamini lakini alipoteza kwa pointi.
Joshua amempoteza mikanda yake yote IBF, WBA na WBO kwa Usyk ambaye alishinda kwa pointi katika pambano lake la tatu la uzito wa juu lilipogwa siku ya jumamosi London
Usyk bingwa wa cruiserweight amekuwa mwanamasumbwi wa pili kumchapa Joshua, ambapo awali ‘AJ’ alipoteza kwa Andy Ruiz Jr, na kuomba tena kurudiana nae na kushinda, Joshua anaimani atafanya tena kwa Usyk ambapo alipoteza mbele ya mashabiki 66,000 kwenye dimba la Tottenham Hotspur Stadium.
“Niko tayari kurudi kufanya mazoezi, nitaakuwa tayari kurudisha nilichopoteza, nisomo zuri nimelipata leo,ni somo zuri nimelipata.
“Najua tunaweza kuliangalia kwa upande mbaya, lakini nalichulia kama somo na litanijenga , mimi sio mtu dhaifu sitaki kuwa chumbani nikiwa najirahumu,narudi kwenda kujiweka sawa sababu hakuna atakaye fanya kwa ajiri yangu.” Alisema AJ
Ni wakati wa ushindi mkubwa ukiwa na kasino bomba ya Lock a Luck, meridianbet wanakupa sababu ya ushindi, funga bahati yako ya ushindi ukiwa na mabingwa.