Joao Cancelo Ajeruhiwa Katika Tukio la Wizi.

 

Beki wa pembeni wa Manchester City Joao Cancelo alijeruhiwa usoni baada ya kujaribu kupambana na genge la majambazi akiwa na familia yake.

 

Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 28 aliweka picha ya majeraha yake kwenye mtandao wa kijamii wa Instagram.

“Kwa bahati mbaya leo nilivamiwa na wezi wanne ambao waliniumiza na kujaribu kuumiza familia yangu,” aliandika.

“Unapoonyesha upinzani, ndivyo inavyotokea. Walifanikiwa kuchukua vitu vyangu vyote vya thamani na kuniacha na uso wangu katika hali hii.”

Cancelo amekuwa sehemu muhimu ya timu ya Machester City wakiwa kileleni mwa jedwali la Ligi Kuu, akicheza katika mechi zote isipokuwa moja msimu huu.


KUWA MILIONEA MSIMU WA SIKUKUU NA SAHARA RICHIES

Unaanzaje siku yako katika msimu huu wa sikukuu, mchongo upo meridianbet kasino. Sloti pendwa ya Sahara Richies inaweza kukufanya ukawa milionea katika kufunga mwaka huu, Jiunge na ufurahie kasino maridhawa kutoka nyumba ya mabingwa.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.