Joel Matip, Trent Nje Wiki Mbili.

Mabeki wa klabu ya Liverpool Joel Matip na Trent Alexender Arnold wanatarajiwa kukaa nje ya uwanja kwa muda wa wiki mbili kila mmoja.joel matipWachezaji hao wanaelezwa kua nje ya uwanja kwa mda wa wiki mbili huku Joel Matip habari zinaeleza anaweza kua nje hadi wiki tatu kutoka na majeraha ya ambayo yanamkabili.

Trent Alexender Arnold alitolewa baada ya kipindi cha kwanza kumalizika katika mchezo uliomalizika kwa klabu ya Liverpool kupoteza kwa mabao matatu kwa mawili siku ya Jumapili ambapo pia Matip alitolewa katika mchezo huo.

Joel Matip ambae amekua akipata majeraha ya mara kwa mara katika timu hiyo ambapo wakai msimu unaanza alikua anauguza majeraha ila wakati amerudi akiwa hajacheza mechi hata tano amepata majeraha kwa mara nyingine.joel matipLiverpool inapitia kipindi kigumu sana tangu kuanza kwa msimu huu wakipata matokeo mabaya huku wakiandamwa na wimbi la majeruhi kwa wachezaji wao.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.