Kane na Son Wawasha Moto EPL.


Son Heung-min na Harry Kane wameungana kwa magoli 28 ya Premier League, Ndio Muunganiko bora wa Nne kwa Wachezaji wawili kuungana katika mabao mengi zaidi katika historia ya Premier League.

 

Kane na Son Wawasha Moto EPL.

Harry Kane na Son Heung-min wameshirikiana kwa mabao nane ya @premierleague msimu huu ndani ya timu ya Tottenham Hotspurs.

Ni Teddy Sheringham na Darren Anderton (1992-93 & 1994-95) na Sheringham na Chris Armstrong (1995-96) wamewahi kujumuika kwa mabao mengu zaidi katika msimu mmoja wa PL kwa Spurs (wote 9).

 

Kane na Son Wawasha Moto EPL.
 

Kwa sasa ndani ya PL hizi ndio combination bora zaidi ya yeyote ile.

36 – Frank Lampard na Didier Drogba
29 – David Silva na Sergio Aguero
29 – Robert Pires na Thierry Henry
28 – Heung-Min Son na Harry Kane
27 – Darren Anderton na Teddy Sheringham


Ondoka na Mkwanja Kwenye Tsh. 160,000,000

Hii ndiyo burudani yenye ushindi! Ingia kwenye kasino ya Meridianbet kufukuzia ushindi huu.

Soma Zaidi

30 Komentara

    huu muunganiko wao ni balaa lazima moto uwake uko uingereza

    Jibu

    Kwa hiki lazima kiwake.

    Jibu

    Kane na son wameunga EPL kutanoga

    Jibu

    Mambo motoo

    Jibu

    Vizuri EPL pamenoga

    Jibu

    Si mchezo kazi ipo

    Jibu

    EPL pamenoga

    Jibu

    EPL kumenonga

    Jibu

    Mambo moto

    Jibu

    Vichwa viwili vimekutana EPL lazima kuwake moto

    Jibu

    Sio mchezo mambo matamu

    Jibu

    EPL kumenoga

    Jibu

    Safiiii.

    Jibu

    Afu ndo kwanz ligi imeanza watafunga sana

    Jibu

    son yupo vizuri sana hanajituma hipasavyo

    Jibu

    EPL kunaendelea kunoga

    Jibu

    Yupo vizuri

    Jibu

    mambo ni moto na meridianbet

    Jibu

    Mambo ndio kwanza yameanza

    Jibu

    KANE and son ronaldo is best combination in ueropa and epl is now

    Jibu

    Mambo ya soka hayooooo

    Jibu

    Kolabo matata totenham wataweka rekod nzur

    Jibu

    Hatarii sana

    Jibu

    Yupo vizur

    Jibu

    Wako vzur sana 👍

    Jibu

    Mambo moto

    Jibu

    Hao Watu hatari

    Jibu

    Kane yupo poa sana

    Jibu

    Wako vizuri Sana

    Jibu

    EPL mambo ni moto

    Jibu

Acha ujumbe